Laana ya kumuua Gadafi inazidi kumuandama Obama, Dunia nzima inamkataa, sasa jina lake limepewa vijidudu vinavyoshambulia na kuharibu Mapafu!
Huyu ni Parasite mpya aliyegunduliwa huko nchini Malaysia, amepewa jina la Barack Obama ambaye ni raisi wa 44 wa USA, parasite huyu Obama hushambulia na kuharibu mapafu!