Kichomi aka kichomekeo aka kiingizio aka kito.... Aka kipigio..., Pinda aka mzee wa kimpumu, EL aka fisadi , Komba aka Pono, Masaburi aka mata... Bilali aka mzee wa sherehe, Mwigulu aka mzee wa vichenchele,Salma aka mama kiherehere.
hapo ktk red ndio mpango mzima zingine zote 2pa kule.Nyani Ngabu aka Rais wa Wabeba Maboksi JF aka Mjasiriamali wa hisia, enjo fes, na karolaiti aka Mgodi wa fikra, hekima, na busara aka bahari ya huba na haiba aka Msababishaji wa kujitegemea.
Nyani Ngabu aka Rais wa Wabeba Maboksi JF aka Mjasiriamali wa hisia, enjo fes, na karolaiti aka Mgodi wa fikra, hekima, na busara aka bahari ya huba na haiba aka Msababishaji wa kujitegemea.
uyo Salma unamaanisha yupi muungwana,yule demu wake Sharobaro?
ivi kwa nini kifimbo walimuita Mchonga?
dr slaa a.k.a dr wa ukweli
jk a.k.a mkweee'ree
tundu lissu a.k.a jembe
kilimanjaro starz a.k.a BEST LOOSER.
Said Yusuph a.k.a Mbwiga wa Mbwiguke.
Kamanda Kov*a a.k.a kamanda kovu