Haaa haaa ShukranAnza na wewe kwanza,... Ukibadilika tu na mimi nabadilika
I'm sorry...why watu hupenda kutumia X kwenye uandishi?? Haivutii jamani
True mamiihuman being is complex creature
Kweli kabisa.Na hali hii inazidi kuongezeka.Dunia inapoteza Nuru Yake kwa watu wake kuchukiana.Hofu kubwa iliyo ikumba dunia yetu na viumbe wake(binadamu) hapa lazima utejelee maandiko matakatufu "siku za mwisho upendo wa wengi utapoa"
Sent using Jamii Forums mobile app