Habari wana JF..ninapangisha nyumba yenye vyumba viwili masterbedroomz vyote,sitting room na jiko plus baraza kubwa nje..nyumba ni mpya inajitegemea kwa kila kitu iko ndani ya fence..dakika tano kutoka barabara kuu...kodi kwa mwezi ni laki tano...ukilipa kodi ya miaka miwili na nusu utapewa bonus ya kuongezewa miaka miwili mingine free kabisaa..its serious...contact 0712 240 334 for more details