8 ladies you should never marry

You got a point but mostly mi naona miss independence,miss materialistic na miss cinderella ndo imewaathiri wadada wengi kwa sasa.Na hii miss cinderella ni kutokana na haya matamthiliya yetu ya mapenzi yalioenea kama uyoga wa porini,zinafanya mwanamke atake kuwa treated kama main character wa kwenye tamthiliya.Mhhhhh jamani shughuli pevu nishaona chance ya ndoa inavyofifia taraaaatiiiiiibuuuuuu.
 
Watu wanaoa tu hata kama mwanamke anazo tabia zote 8. Kuishi na hawa viumbe inatakiwa akili ku mkichwa!! kama huna akili ya kuishi nao hawa utaoa na kuacha kila kukicha!! Ningeshauri mtu anaetaka kuona aangalie vitu viwili tu kwa mwanamke: 1. Busara/hekima 2. Uzuri wa sura
Everything else falls into place when a woman has these two qualities otherwise there is nothing you can do.
Mwanamke akiwa mjinga lakini akawa na busara utamfundisha ataelewa lakini kama hana busara hafundishiki
Mwanamke akiwa hana mvuto wa sura (kwa kuzaliwa) hata akifanya plastic sugery haisaidii. Lakini pia utaiona sura ya mkeo kwa watoto watakaozaliwa-sura mbayaaa!! Jamani msinipige mawe, i am just being honest and sincere here!!
 
Sasa Mkuu sisi wa MEMKWA tunakomenti wapi?

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…