75-year-old Athumani Mchambua in search of new wife

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,315
A 75-year-old man in Tanzania named Athumani Mchambua is in search of a new wife who will help be a step mum to his 11 children.

Athumani put an advert in Swahili in search of a woman who is hard working and good in farming. He needs a new wife after the sad death of his first one.

The advert was put up in the low-class area of Mbagala and asked interested applicants to come for an interview.

Athumani said: "I have held the interview only once and four candidates showed up, but no one had all the qualities. Some mentioned only two out of four [qualities] but not more than that."


 
Hey, all those who show up in JF searching for male to marry them rise up, mzee Athumani anataka jike lenye inyeinye, sifa kedekede changamkieni fursa hii adhimu.
 
Katika hali isiyo ya kawaida mzee Athumani Mchambua ameweka bango la kunadi vigezo vya make anayhitaji kuolewa naye huku akitangaza kuwa Yuki tayari kwa atakayekidhi vigezo kumuoa.
Akihojiwa na BBC mzee huyo anayeishi Dar kwa Azizi Ally akisema kuwa njia hiyo ya bango ikishindikana basi atashirikisha madalali(makuwadi) ili azma yake itimie ya kumpata huyo mwenza ili wakasaidiane naye kulea watoto 11 ambao mwenzake aliyezaa naye amemuachia.
Wenye professional za ukuwadi dili hili limekwiva kazi kwenu.Tazama bango na vigezo vya mzee hy .
 
Mzee bado anahitaji mama wa kufyatuana naye, aisee kweli hili ni dume la mbegu
Hua napenda sana kujua siri zahawa wazee ndo mana hua nakaa nao karibu sana ...watoto 11 na zaid bado saiv she need that special woman ..means damu inachemka...70's for that matter.
 
Mwacheni mzee wa watu aendeleze kizazi cha adamu na hawa,Babu kaona hii ndo fursa anayoiweza mwacheni afanye yake
 
Mmmmmmmmhhh!!!!
 
Wewe umefaulu Kwa hiyo kazi maana Bango umelibeba hadi jf na udalali na ukuwadi unauweza
Nashukuru kwa maneno yako machafu..mdomo mchafu siku zote unazaa mtu mchafu ambae atazaa watoto wachafu na kizazi chake chote kitakua kichafu lakini source ni kua na mdomo mchafu kwa wengine.
 
Hua napenda sana kujua siri zahawa wazee ndo mana hua nakaa nao karibu sana ...watoto 11 na zaid bado saiv she need that special woman ..means damu inachemka...70's for that matter.
Kiswahili tafadhali!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…