Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
..hii kali sasa.
..yaani mnataka kumtuhumu GAVANA kwamba humo ndani ya nyumba yake anatumia INCUBATOR kama vitoto vichanga vinapokuwa kwenye NICU[neonatal intensive care unit].
..hii kali sasa.
..yaani mnataka kumtuhumu GAVANA kwamba humo ndani ya nyumba yake anatumia INCUBATOR kama vitoto vichanga vinapokuwa kwenye NICU[neonatal intensive care unit].
duh, kweli bongo kali
sasa tusisahau kwamba hilo jengo limejengwa miaka nenda miaka rudi... ulizia renovation au ujenzi wa nyumba ya gavan, nyumba ya idris rashidi, nyumba za mwaziri nk zilitumia mda gani?
Its not about priorities, its about ignorance in priorities kwa hawa leaders
Hivi tumeshajiuliza kama huduma za meno, emergency, kisukari, moyo, ngozi, watoto nk kama zinatosha?
Kiwavi,
Hilo swali lako ndio na mimi linalonikuna kichwa.
Utakuta Pesa za miradi inayowanufaisha wananchi huwa hazipo za kutosha toka kwenye bajeti na miradi yake huwa inajikongoja-kongoja mpaka inachakaa kabla haijatimia.
Lakini inapokuja hii miradi "YAO" utashitukia inakamilika kama unavyoota uyoga overnight, hivi ni kwa nini? Kwani hii miradi yote haitokani na pesa zetu?