MwM, acha kunitia kiwewe... MBONA NIMESHIRIKI KIKAMILIFU!!!!!
MwM,computer yangu ilibidi niiwekee INJINI mpya... kisha nikawa ambia majirani wote wazime internet zao ili kupisha 'gari kubwa' .... ungeniambia au kuniomba mapema ningekuachia njia... lol, pole sana na hongera kwa kushiriki!!
hahahaah Steve bwana DOla 500 za hivi hivi nani asizihangaikie mkuu? Pole sana nawe ila nawapa majirani zako pole zaidi hope next tym tunaweza ambulia chochote.
Sidhani kama counter yake inasoma namba 2 wka mkupuo.Mshindi atakuwa mmoja tu aliebahatika kuingia akiwa wa 3000000,wasanii wapo watakao fanya manuva.Ninaandika tena juu ya blogu ya mswahili mwenzangu
leo counter yake imehit 3million ila inaonekana kuwa watu wamepata same counter namba
mie nimeona wengi wanasema 2999997 3000002 na hii ni kweli
namba zinatoka 1 to many visitors.
katika kutafuta mshindi huyu basi anakazi kubwa ila kwanini hajagundua tatizo hili b4 kuwa counter ni bomu kabla ya kutangaza zawadi?
anataka kusingizia eti kuna wajuao computer wanafake na hanasahau kuwa hiyo ni mbaya as waliopata mamba hizo kweli kweli itawauma hiyo 3000000.
Mie nipo nae shingo kwa shingo as alikuwa anadharau post zangu zamani sijui leo kama ataweka nasubiri
Matokeo ya mpira hadi leo mwaaaaaaaa, aliandika kuchuja watu tena then mmmmmmhhhh sijaona kitu
pesa amekula mnajua tena x-mas, safari za kupanda ndege bei pia hivyo anatafuta njia ya kurudisha pesa zeni atangaze mshindi
Mie nakerekwetwa kuwa uswahili upooooo na huwa haufi tanzania.
Michuzi angalia sana utachotangaza na ujipe moyo wakukamilisha
mie nakusapoti weye uliyesema kuwa ulipata 3000002 maana and mie too niliipata hiyo namba na pia 3000001 lakini before milioni tatu zikiwa zacheza kwenye 97 kwenda mbele si ndio nikaanza kupewa mambo ya error kwenye counter ilee hadi nikaanza hisi ufisadi..lakini wajimini hatuna chetu as alishasema uamuzi wa majaji tusiowajua ndio wa mwisho...lets wait n see