$500 - Jaribu BAHATI Yako Kwa Brother Michuzi. Baada ya matokeo wengi wadai kuna foul

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Messages
6,417
Points
1,225

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2007
6,417 1,225
Muda unayoyoma, watu wanazidi kubofya... Kwanini nawe usijaribu hiyo bahati ya kuwa mdau wa 3,000,000 kwenye GLOBU ya Kaka Michuzi..

BONYEZA KIUNGANISHI KIFUATACHO CHINI NA KUANGALIA 'HESABU' YA WATEMBELEAJI, KAMA KWENYE BROWSER YAKO ITASEMA 3000000 UTAKUWA UMESHINDA:

http://issamichuzi.blogspot.com/2008/01/ufisadi-wa-dola-500.html#comments

Nakutakia Bahati Njema!!

SteveD.
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Messages
6,417
Points
1,225

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2007
6,417 1,225
Si zaidi ya mibofyo (clicks) 7000 sasa ili mshindi apatikane!!

Mimi naanza kazi yangu..... nahurumia server za blogspots... :)

MIKONOzzzzz iko kwenye keyboard!! :D
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Messages
6,417
Points
1,225

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2007
6,417 1,225
MwM,computer yangu ilibidi niiwekee INJINI mpya... kisha nikawa ambia majirani wote wazime internet zao ili kupisha 'gari kubwa' .... ungeniambia au kuniomba mapema ningekuachia njia... lol, pole sana na hongera kwa kushiriki!!
 
Mtoto wa Mkulima

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2007
Messages
688
Points
0

Mtoto wa Mkulima

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2007
688 0
MwM,computer yangu ilibidi niiwekee INJINI mpya... kisha nikawa ambia majirani wote wazime internet zao ili kupisha 'gari kubwa' .... ungeniambia au kuniomba mapema ningekuachia njia... lol, pole sana na hongera kwa kushiriki!!
hahahaah Steve bwana DOla 500 za hivi hivi nani asizihangaikie mkuu? Pole sana nawe ila nawapa majirani zako pole zaidi hope next tym tunaweza ambulia chochote.
 
cocochanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
24,362
Points
2,000

cocochanel

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
24,362 2,000
Ninaandika tena juu ya blogu ya mswahili mwenzangu

leo counter yake imehit 3million ila inaonekana kuwa watu wamepata same counter namba

mie nimeona wengi wanasema 2999997 3000002 na hii ni kweli
namba zinatoka 1 to many visitors.

katika kutafuta mshindi huyu basi anakazi kubwa ila kwanini hajagundua tatizo hili b4 kuwa counter ni bomu kabla ya kutangaza zawadi?

anataka kusingizia eti kuna wajuao computer wanafake na hanasahau kuwa hiyo ni mbaya as waliopata mamba hizo kweli kweli itawauma hiyo 3000000.

Mie nipo nae shingo kwa shingo as alikuwa anadharau post zangu zamani sijui leo kama ataweka nasubiri

Matokeo ya mpira hadi leo mwaaaaaaaa, aliandika kuchuja watu tena then mmmmmmhhhh sijaona kitu

pesa amekula mnajua tena x-mas, safari za kupanda ndege bei pia hivyo anatafuta njia ya kurudisha pesa zeni atangaze mshindi

Mie nakerekwetwa kuwa uswahili upooooo na huwa haufi tanzania.

Michuzi angalia sana utachotangaza na ujipe moyo wakukamilisha
 
Mtu

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2007
Messages
472
Points
0

Mtu

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2007
472 0

Sidhani kama counter yake inasoma namba 2 wka mkupuo.Mshindi atakuwa mmoja tu aliebahatika kuingia akiwa wa 3000000,wasanii wapo watakao fanya manuva.
 
araway

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2007
Messages
518
Points
225

araway

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2007
518 225
namuunga mkono msemaji wa kwanza apo juu, ni kweli namimi naamini kuna makosa katika counter ya bwana michu na kutokana na hilo naamini mshindi atapatikana kama kibaki tu istoshe counter ilikuwa ina show error mesege sasa niwengi haikuwatendea haki. nimeshindwa kupata url ya picha zinazoonyesha error msg kwenye blog ya michu
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Messages
6,417
Points
1,225

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2007
6,417 1,225
Nikiwa miongoni mwa wale ambao wanaona wameshiriki na kushinda, nami naona nimehujumiwa pia maana nilibahatika kubofya na kuwa visitor wa 3,000,000 !!

Baada ya muda nitaweka file zangu zote hapa - 'raw files' ambazo mtu ukibofya, zitakupeleka kwenye GLOBU ya michu mwenyewe. Pia nam-challenge yeyote mwenye kudai kuwa ameshinda atuwekee picha au file za browser yake hapa ili tuzidadisi yaliyo yakweli katika ushiriki wao na hivyo ushindi uliohujumiwa.

Kaka Michu, nawe pia naku-challenge kuleta hilo file la mshindi hapa. Najua kama ukiwa mwenye blog unaweza ku-reset counter au kui-fix tarakimu ya kuanza kusoma. Michuzi nakusihi ufanye hivyo ili kuondoa haya madai ya kuwa nawe umeanza ufisadi. Ahsante.

SteveD.
 
mbongopopo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2008
Messages
1,360
Points
1,500

mbongopopo

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2008
1,360 1,500
mshindi wa namba 3000000 alipatikana

around time za

11:23am tz
8:23am uk

sasa mie nashangaa huyo mshindi alikaa hadi 4:32pm tz time kabla ya kuchukua print screen?

au time ya nchi ingine na sio magomeni?

naona gmail compose message ilikuwa tayari hapo. labda gmail account ya michuzi hiyo

haya

oneni link hii ya aliyepata namba 3000002 ilikuwa na dakika 23.

http://issamichuzi.blogspot.com/2008/01/na-mshindi-wa-dola-500-ni.html#comments

michuzi counter yake ni one to many

angalia attachment yangu nilituma kwa michuzi akanisusia kupost

ANGALIA ATTACHMENT YANGU ASUBUHI HII YA LEO

NILIPATA PIA HIYO 3000002
NA TIME KAMA YA YULE MDAU WA KWENYE LINK HIYO

UMEONAJE
 
Attachments:

Mtaalam

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2007
Messages
1,281
Points
1,225

Mtaalam

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2007
1,281 1,225
mie nakusapoti weye uliyesema kuwa ulipata 3000002 maana and mie too niliipata hiyo namba na pia 3000001 lakini before milioni tatu zikiwa zacheza kwenye 97 kwenda mbele si ndio nikaanza kupewa mambo ya error kwenye counter ilee hadi nikaanza hisi ufisadi..lakini wajimini hatuna chetu as alishasema uamuzi wa majaji tusiowajua ndio wa mwisho...lets wait n see
 
mbongopopo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2008
Messages
1,360
Points
1,500

mbongopopo

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2008
1,360 1,500
mie nakusapoti weye uliyesema kuwa ulipata 3000002 maana and mie too niliipata hiyo namba na pia 3000001 lakini before milioni tatu zikiwa zacheza kwenye 97 kwenda mbele si ndio nikaanza kupewa mambo ya error kwenye counter ilee hadi nikaanza hisi ufisadi..lakini wajimini hatuna chetu as alishasema uamuzi wa majaji tusiowajua ndio wa mwisho...lets wait n see
YAANI MIE ULIVYOSEMA NIKAMA NILIKUWA NAWE KATIKA COMPUTER MOJA ILITOKEA HIVYO HIVYO "ERROR #10"

NAJUA MICHUZI APENDI UKWELI

HANA MAJAJI WALA NINI WALIOTOA PESA NI TIGO
AKASEMA ANASUBIRI WATAALAMU HAO NI VIJANA WA UK WANAOMSAIDIA KWENYE BLOG HII. ANGEKUWA NAO ANGEWATAJA

I HOPE ATAJIFUNZA NA KUBADILIKA

NIMEFURAHI KUWA HAYAKWENDA KIHALALI MAMBO YAKE YA KUTAFUTA VISINGIZIO KILA WAKATI

MDAU CARRI KAWEKA TIME KWENYE MSG YAKE NA NI KWELI HIYO SAA 4:32PM IMETOKEA WAPI UKIANGALIA VIZINGITI?

CARRI WEYE UNAFANYIA CIA AU FBI AU MI5 ETC??

MICHUZI TUJIBU BASI NAJUA UNASOMA HUMU
 
Mtaalam

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2007
Messages
1,281
Points
1,225

Mtaalam

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2007
1,281 1,225
naona finally kachagua na mshindi wa lile shindano la last year la mechi ya man utd na arsenal...

plus kuanza jitetea kuhusiana na la mshindi wa milioni tatu
 
cocochanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
24,362
Points
2,000

cocochanel

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
24,362 2,000
Nimeona alivyojaribu kujitetea ila hana point ya kumfanya mtu kama mimi niseme sio uongo.

Mbongopopo mie ni wa kawaida

KINGINE
PICHA ZA MICHUZI ALIZOTUMA JUU YA MSHINDI KUNA WINDOWS TATU ZIMEFUNGULIWA KATIKA HIYO COMPUTER

WINDOW 1 NDIO WALIOFANYIA PRINT SCREEN FOR PICHA YA KWANZA

KATIKA PHOTO WALIOCHUKUA NA CAMERA NI WINDOW 2 NDIO IMEFUNGULIWA

SASA INAMAANISHA KUWA WALIHIT TWICE NAMBA 3000000 KATIKA WINDOW MBILI? HOW??????

MICHUZI ANADAI BINTI HAJUI MITAMBO SO IMEKUWAJE???

ANGALIA LINK HII BELOW UKIFUNGUA WINDOW CHINI INAKUWA DARKER INAPOKUWA ACTIVE, ZINGINE ZINAKUWA LIGHTER KAMA HAPO ILIVYO LIGHT AND DARK BLUE

http://issamichuzi.blogspot.com/2008/01/mshindi-wa-mechi-ya-dola-500-apatikana.html#comments

MMENIPATA HAPO??????????????????

MIE NI MKELEKETWA PIA NISIOPENDA WAONGO WANAOJIFANYA WANAJUA

Mie nahisi Michuzi ni spy. as watu wanavyotumia site yake mambo wanayoandika etc anapeleka kwa ma spy wenyewe haswa. amshangai kikwete siku hizi mikoani kwa sanaaaaaaaa Lowasa akitulia..... summer time ataacha ya mikoani na kwenda majuu

Alipoanza alikuwa anaweka sana mambo mbalimbali ila siku hizi miezi inapita sasa amepunguza ni kama anasubiri watu ndio waanzishe topics

Nashukuru JF kuwepo mtu unakuwa free asanteni
 
Mtaalam

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2007
Messages
1,281
Points
1,225

Mtaalam

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2007
1,281 1,225
kasheshe ni kuwa hajatoa habari yoyote za yule mshindi mwingine na wakati huyo mshindi anadai keshawasiliana naye na jamaa amemjibu kiusaniii..huyu jamaa ana mambo...
 
Forum statistics

Threads 1,378,748
Members 525,185
Posts 33,723,127
Top