thanksAfrica report? Patrick smith? This list is prepared by one man sitting in London.. where is the credibility?
where is Malema? Where is Mugabe?
Where are the western Anti-Heroes that dare defy?
thanks
wazungu hasa waingereza wako obsessed sana na old glory and rating, wanahangaika sana
Every African is influential.
Yule muuza matunda wa Tunisia ambaye hakujulikana wala kuwa na influence yoyote ya kusema angalia alivyoanzisha a snowball effect imeleta repercussions za kutikisa dunia nzima.
Hii thinking iko so lateral na rankings kama hizi zinakosa kuangalia dynamics za kuangaliwa kikweli na ku focus kwenye mambo superficial.