Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,591
We ndo pumbafuuu kweli mafiii kabisa hiyo Google yenyewe Ni ya wazunguKawaulize U.S.A kwanini kwenye kampeni zao wanatajwa Waislamu(Middle East)? Badala ya kudeal na nchi yao?
Halafu jiulize hivi kwanini World Trade Center walilipua wamarekani wenyewe akawasingizia Waislamu
(Osama Bin Laden) Duniani kote.?
Nenda Google kaandike Neno WTC halafu zitakuja photo za picha ya ndege mbili zikiwa angani zinaenda kulipua/kugonga WTC(World Trade Center),Swali lakujiuliza kutokana na uhimara wa Jengo kama lile zinaweza kugongwa ndege mbili angani na kulipuka?
FANYA VITU KWA UCHUNGUZI UGUNDUE PROPAGANDA ZINAZOENDESHWA DUNIANI SIYO UNAKAA MNADANGANYWA UISLAMU MBAYA WAKATI HAKUNA MNACHOJUA NYUMA YA PAZIA DHIDI YA WAMAGHARIBI DUNIANI.
Fuatilia mpuuzi wewe!!
Hio ni kweli kabisa. Ndiyo Maana Makka kuna makanisa na masinagogi ya kutoshaLazima ujue kuna tofauti kati ya Dini na wafuasi, jambo kubwa ni kujua je dini ya uislamu inasema nini juu ya uhuru wa kuabudu, Mtume Muhammad (saw) aliwatendea vipi watu wa dini zingine (mayahudi na wakristo nk) katika uhai wake?!!, baada ya kujua hicho ndipo kwanza utahukumu dini ya kiislamu na baadaye utahukumu waislamu.
Uislamu ni dini inayotoa uhuru mkubwa wa watu wa dini mbalimbali kuabudu bila bughudha kama wanatokea waislamu wanaifanya kinyume na hapo basi ni jambo la kusikitisha sana.
Kuna sehemu nimesema ya wakorea kaskazini.We ndo pumbafuuu kweli mafiii kabisa hiyo Google yenyewe Ni ya wazungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Masinagogi=Misikiti.Hio ni kweli kabisa. Ndiyo Maana Makka kuna makanisa na masinagogi ya kutosha
Ukimwambia Myahudi hivyo anakushoot. Waulize Wapalestina. Uliwahi kuona Myahudi anaingia msikitini wapi? Au mwalimu wako wa Madrassa ndiye kakupa huo ubuyu?Masinagogi=Misikiti.
Hayaaa !wewe ndie huna adabu kwa kumnyamazisha MTU as if HAQI ya kusema umempa wewe! Hebu soma Kauli ya Kigezo chenu chema...View attachment 1047392View attachment 1047394View attachment 1047395View attachment 1047396
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyoohayo uliyo ANDIKA kamkoromee allah aliye ruhusu kwa kinywa cha baba fatuma mimi hayanihusu! Ndio sababu hii deen wenyewe ni warabu nyinyi haiwahusu! Na wenye deen yao wanawazogodoa HADHARANI NA KWA KIPUNJO...View attachment 1047407View attachment 1047408View attachment 1047409
Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu !?Ndio umepost nini? Usinitafutie ban dogo! Hata dunia mzima wawe waislamu, Mimi mgen nitaendelea kushahadia kwamba!; HAKUNA MUNGU ANAEPASWA KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PROF PAULO NI MTUME WAKE! kiumbe kinawabainishia wazi mchana kweupe kwamba kila mfuasi wake lazima aende motoni, hata hofu hamna mnapigia debe kwenda motoni...hhhhhhh...View attachment 1068340
Sent using Jamii Forums mobile app
JuuuNdio umepost nini? Usinitafutie ban dogo! Hata dunia mzima wawe waislamu, Mimi mgen nitaendelea kushahadia kwamba!; HAKUNA MUNGU ANAEPASWA KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PROF PAULO NI MTUME WAKE! kiumbe kinawabainishia wazi mchana kweupe kwamba kila mfuasi wake lazima aende motoni, hata hofu hamna mnapigia debe kwenda motoni...hhhhhhh...View attachment 1068340
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa !
Dini ya Uislaam itashinda hata kama makafiri watachukia !
Patrick Viera nayr asilimu, ushindi tu !
Yesu katumbuliwa na huko na mwenye pepo !Mimi KIGEZO CHANGU NA MWALIMU WANGU NI YESU TU! Huyo patiriki NI KIGEZO chako wewe bandiwe maana anayo pepo ya kukupa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sadakta ! Swadaqallahu al'adhiimHivi nina-chat na kafir au muumini?! hata mungu wako ameng'amua kazi yako NI kutupigia mikelele! ukisha maliza kupost hizo pumba zako, Hebu soma hii ayat uone darja alilo pewa YESU na mungu wako! View attachment 1070418View attachment 1070422
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote walitumwa kazi moja tu, kulingania UislaamSadakta ! Swadaqallahu al'adhiim
Yesu kapiwa daraja na Mungu, ni wapi sasa Yesu anapokuwa mungu !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alimfanya mwili ?!Andiko hilo hapo usome nisitoe kichwani!View attachment 1070707View attachment 1070709
Sent using Jamii Forums mobile app
Mataifa 'Gentiles' (wayahudi tu)YESU NI MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KAMILI! nashangaa hekima ya ulicho uliza!?View attachment 1070770
Sent using Jamii Forums mobile app