DENICE ADRIAN Senior Member Joined Feb 14, 2014 Posts 127 Reaction score 30 Jul 18, 2016 #1 Naombeni kujua jinsi ya kulipa hiyo hela ya kuomba vyuo kupitia TCU mwaka huu. Kama walivosema kuwa wataanza kupokea tar 20 hivyo nahitaji kuwa tayari. Msaada plz
Naombeni kujua jinsi ya kulipa hiyo hela ya kuomba vyuo kupitia TCU mwaka huu. Kama walivosema kuwa wataanza kupokea tar 20 hivyo nahitaji kuwa tayari. Msaada plz
DENICE ADRIAN Senior Member Joined Feb 14, 2014 Posts 127 Reaction score 30 Jul 18, 2016 Thread starter #2 inatoka lin nanga
S sigiye Member Joined Dec 12, 2015 Posts 57 Reaction score 26 Jul 18, 2016 #3 Watatoa kesho ili watu wan kuomba
medenc Member Joined Nov 7, 2015 Posts 98 Reaction score 72 Jul 18, 2016 #4 DENICE ADRIAN said: naombeni kujua jinsi ya kulipa hiyo hela ya kuomba vyuo kuptia tcu mwaka huu...kama walivosema kuwa wataanza kupokea tar 20.. msaada plz Click to expand... Usiwe na haraka wakifungua tu aplctn maelezo utayakuta pale kweny website yao
DENICE ADRIAN said: naombeni kujua jinsi ya kulipa hiyo hela ya kuomba vyuo kuptia tcu mwaka huu...kama walivosema kuwa wataanza kupokea tar 20.. msaada plz Click to expand... Usiwe na haraka wakifungua tu aplctn maelezo utayakuta pale kweny website yao