4G modem inauzwa bei poa

Kaliro X

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
749
Reaction score
440
Inatumia mtandao wa tigo, lakn ukiongea vzr na wataalamu wa IT kama kina MwlRTC wanaweza kukusaidia kuiunlock itumie mitandao yote,

Sababu ya kuiuza ni kwamba nipo nje ya mji kwa miez kadhaa, sehemu nilipo hakuna access ya mtandao wa tigo so kama kuna mtu atapenda tufanye deal exchange it's OK pia.
Wao wanaiuza laki dukani.

Bei yangu ni tsh. 45,000/= tuu
Karibu
Call/txt/wasap 0765961152

 
4G modem kuiuza 45k ni kuishusha hadhi labda 60k itapendeza zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…