Kabachubya
Member
- Oct 6, 2009
- 87
- 10
Marent haya kama tupo TOKYO
Hata ile maana ya ku-rent haipo tena hapo. Nadhani tangazo lingesema nauza nyumba ila unaweza kulipa taratibu kwa installment 12 ndani ya kipindi cha mwaka mmojaSema wewe mjomba,wabongo wanapenda sana utajiri wa haraka haraka,tena anaweka midorali utafikili nae kaijenga kwa midorali
Teh teh teh teh teh!Lets see: $2,600 x12= 31,200x1600=49,920,000/= rent per annum. Kama una hii pesa afadhali ujenge nyumba yako mwenyewe.
Umasikini ni kitu kibaya sana, na ndio maana masikini hawezi kuendelea hadi siku atakapoacha majungu na kufanya vitu vya maendeleo. Hiyo nyumba haijashushwa toka mbinguni, nendeni masani muone kodi USD 4000 kwa mwezi. piga hesabu zako sasa.
Lets see: $2,600 x12= 31,200x1600=49,920,000/= rent per annum. Kama una hii pesa afadhali ujenge nyumba yako mwenyewe.
Mjeda upo baba? Habari ya wapi bana?Teh teh teh teh teh!
Huku kwetu MASAKI tunalipa $6,000 kwa mwezi lol!
So piga sasa $6,000x1,600=9,600,000x12=115,200,000 per a year lol!
Marent haya kama tupo TOKYO
Mjeda upo baba? Habari ya wapi bana?