3d Plate numbers

Uzi bila ya picha itakuwa ni uzushi...
 
Hapo umesema mtu akija na plate no.yake hii inakuwaje,ni plate no.isiyo na number kabisa au hata kama ina namba mnaweka hiyo 3D...?
 
Hapo umesema mtu akija na plate no.yake hii inakuwaje,ni plate no.isiyo na number kabisa au hata kama ina namba mnaweka hiyo 3D...?
Yenye no ndyo tunaweka mkuu, hiyo nimesema kwa wenye gari mpya zisizo na no au wenye plate no zilizo na chakaa na kuhitaji kuweka mpya
 

Attachments

  • IMG-20230303-WA0010.jpg
    104.9 KB · Views: 40
  • IMG-20230303-WA0009.jpg
    93.6 KB · Views: 44
  • IMG_20230228_172113.jpg
    915.7 KB · Views: 42
Tunashkuru kwa wale ndugu zetu kutokea hapa wanaotupigia simu na kufanya nao kazi, karibuni sana wateja wetu zaidi from jf.
 

Attachments

  • IMG-20230314-WA0005.jpg
    35.6 KB · Views: 39
Wakuu karibuni sana, Mungu ni mwema kazi inaendelea.
 

Attachments

  • e9682748c73749c0bc456914129d8640.jpg
    54.6 KB · Views: 18
  • c254a33a046c42c9b4ace0dda050111b.mp4
    2.7 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…