Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,609
Kenya mbona kawaida hiyo?HIZI VURUGU MWISHO WAKE KUTAKUWA NA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE!!!
Terrible! Masikini.Tena polisi walikataa madaktari kutibu waliokua wamefwatuliwa risasi hapo mbele ya Bunge. Yani ata mmoja alieuliwa hapo mbele ya bunge alikua ni daktari alikua anajaribu kuokoa mtu aliepigwa risasi... Mimi si mwanasheria lakini ata mimi najua ni makosa ya jinai kuua daktari au kuzulia aliejeruhiwa kutibiwa.
View attachment 3031486
Hakuna kitu kama hicho sasa hiyo vita itapiganwa na nani dhidi ya nani..?HIZI VURUGU MWISHO WAKE KUTAKUWA NA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE!!!
Sidhani kama wangeumizwa, labda makofi kidogo hapa na pale...Terrible! Masikini.
My question is Je wandamanaji wangeligia bungeni na kukuta wabunge,.bila interventions ya poliso si wangeliua wabunge?
Nawaunga mkono Gen z lkn walipo turn kuwa violent nikawa na mashaka nao. All in all bijana wana ajenda nzuri ya watawala kijitafakari. They should resist violence
Vijana nawasifu. Nawaunga mkono, ila they should not turn to be hooligans! Wasiguse mali za watu, wasi harass watu, wasipige watu....... let them be on the streets to force the watawala to change their way of governanceSidhani kama wangeumizwa, labda makofi kidogo hapa na pale...
Kwa mfano, huyu hapa mbunge wa chama cha rais aliepigia kura mswada, aliachwa nyuma na wabunge wenzake waliotoroka kupitia underground tunnel. Alipelekwa hadi parking yenye iliokua nje ya bunge na akapandishwa kwa gari lake aende zake. Lakini pia tunaeza sema hii ni special case juu vile ni mlemavu.
View attachment 3032080
View attachment 3032079
WANAJESHI NA WATU WANAO MSAPOTI RUTO!!!Hakuna kitu kama hicho sasa hiyo vita itapiganwa na nani dhidi ya nani..?
Maigizo ni mengi ili tu watengeneze taswira waitskayo.Tena polisi walikataa madaktari kutibu waliokua wamefwatuliwa risasi hapo mbele ya Bunge. Yani ata mmoja alieuliwa hapo mbele ya bunge alikua ni daktari alikua anajaribu kuokoa mtu aliepigwa risasi... Mimi si mwanasheria lakini ata mimi najua ni makosa ya jinai kuua daktari au kuzulia aliejeruhiwa kutibiwa.
View attachment 3031486
Video hio ilichukuliwa na cameraman wa Al Jazeera, Ndani ya hii video mwanahabari huyo anaelezea ni vipi na ni wapi aliporekodi hio video... Tafuta hapo kuanzia dakika ya pili Kwa hio videoMaigizo ni mengi ili tu watengeneze taswira waitskayo.
Je, hapa akari wapo wapi? Wamewezaje kumuonyesha huyo mlalamikaji mwanzo mwisho lakini washindwe kuwaonyesha hao askari wakati kwenye matukio mengine yote wanawaonyesha?
Wanasiasa wenyewe ikiwemo maseneta na magavana na hata Gavana wa Nairobi ambaye anatoka chama cha Rais wamekiri ni wanasiasa walio lipa wahuni kuvuruga maandamano Ili gen z wapoteze support ya jamii kwa ujumla....Vijana nawasifu. Nawaunga mkono, ila they should not turn to be hooligans! Wasiguse mali za watu, wasi harass watu, wasipige watu....... let them be on the streets to force the watawala to change their way of governance
all is possibleWanasiasa wenyewe ikiwemo maseneta na magavana na hata Gavana wa Nairobi ambaye anatoka chama cha Rais wamekiri ni wanasiasa walio lipa wahuni kuvuruga maandamano Ili gen z wapoteze support ya jamii kwa ujumla....
Kuna hata habari flani ambapo kuna wahuni wanakiri waliahidiwa hela baada ya kuvunja maduka na bado hawajalipwa na wasipolipwa watamtaja aliewatuma wavuruge maandamano!
Siku tatu za kwanza maandamano hayakuwa na uhalifi wowote.
Alafu polisi waache kutumia nguvu kupita kiasi... Kama wanavyosema, Violence begets violence, ukirushiwa teargas na wewe umeshikilia bendera tu ukiimba, " we are peaceful ", mwishowe nawe utakasirika uaenze kurusha mawe Ili polisi waache kurusha teargas kiholela...