britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,061
- 47,016
Mchina alisema hatapandisha tena hizo tarrifs maana hizo namba kwa sasa hazina maana ....kikubwa yeye anachojua kwa sasa hamna biashara baina yao......hizo tarrifs ni lugha tu kwamba kwa sasa hutakiwi kuleta vitu vyako huku baas maana hata na yeye akisema ampige marekani tarrifs tuseme 500% maana itabaki ni ile ile,,,,mchina kaona upuuzi kucheza huu mchezo wa namba,,,,ila Marekani amejifunza safari hii kaweka tariffs ila baadhi ya vitu kaweka exemptions,,maana alikua anajipiga pin mwenyewe ,kuna vitu bila mchina watu watamwambia bwana Trump asubuhi tu atoke ikulu
Na hapa ndo atakapoipa nguvu BRICS..........njia nzuri ya kumdondosha mchina ni kama tu angepatikana mzalishaji kama yeye anaezalisha bidhaa nyingi na kwa gharama nafuu shida kwa dunia ya sasa hamna,,,,,,kwa sasa hakuna nchi inayoweza kuzalisha bidhaa nyingi kwa muda mfupi na kuziuza kwa bei ya kiushindani dunia nzima isipokua China tuBREAKING: The Wall Street Journal reports that US officials are planning to use negotiations with over 70 countries to prevent China shipping goods through their countries
BREAKING: The Wall Street Journal reports that US officials are planning to use negotiations with over 70 countries to prevent China shipping goods through their countries
Na wale wahuni hawashindwi.....maana kwa sasa kilichowazuia ni mikataba ya kibiashara tu ,,ila wakivunja mahusiano mchina ata copy na ku paste bidhaa nyingi za wamagharibi bila kuhofia figisuChina said Hold my beer ..
Consumers from other parts of the world tukiwepo tutafaidika sana na hii vita..
Copy cat za Iphones and other consumable goods... Yeepee
Na hapa ndo atakapoipa nguvu BRICS..........njia nzuri ya kumdondosha mchina ni kama tu angepatikana mzalishaji kama yeye anaezalisha bidhaa nyingi na kwa gharama nafuu shida kwa dunia ya sasa hamna,,,,,,kwa sasa hakuna nchi inayoweza kuzalisha bidhaa nyingi kwa muda mfupi na kuziuza kwa bei ya kiushindani dunia nzima isipokua China tu
Sijui kama hii dunia imeshawahi kuwa na mtu mpumbavu kama Trump. He tells his naive followers every day that the tariffs he’s levying on foreign goods are going to make America very very very rich. He makes it sound as if the tariffs will be paid by foreign producers who export to the United States. Total bullshit!245% U.S. TARIFFS ON CHINA
This is not policy...this is punishment.
Here’s the raw truth:
1. Death Blow to Chinese Exporters:
A 245% tariff means most Chinese products become unsellable in the U.S. overnight. It’s like pricing them out of the market on purpose and that’s exactly the goal.
2. Supply Chain Shockwaves:
If your business relies on Chinese components, it’s time to rethink fast. Margins will get slaughtered. Expect inventory costs to spike, and manufacturing chaos to ripple through electronics, auto, textiles, and more.
3. Retail Price Surge Incoming:
Consumers are going to feel it. Don’t be surprised when everything from gadgets to tools jumps 15–30% in price. Inflation’s not dead...it’s about to come roaring back.
4. China’s Counterattack?
You better believe retaliation is coming. Beijing might slap tariffs on American ag, tech, or even rare earth exports. This could escalate into a full-blown economic Cold War 2.0.
5. Winners & Losers:
Winners: Domestic manufacturers, alternative suppliers (India, Vietnam, Mexico), and trade war-savvy investors.
Losers: U.S. companies dependent on Chinese imports, small retailers, and anyone not hedged for turbulence.
This is economic combat. Washington just lit the fuse and the global business world better be ready for the blast radius.
View attachment 3306914
Britanicca
It tells the world how vulnerable is the US nations security control of the southern states thinking.Sijui kama hii dunia imeshawahi kuwa na mtu mpumbavu kama Trump. He tells his naive followers every day that the tariffs he’s levying on foreign goods are going to make America very very very rich. He makes it sound as if the tariffs will be paid by foreign producers who export to the United States. Total bullshit!
His one-man-show actions have wreaked havoc all over the place, pushing the global economic uncertainties to astronomical levels.
Hata hao wengine watamuacha baada ya kuona hakuna sababu za kufanya hivyo, au wakiona hawapati faida yoyote kwa kushirikiana naye. Mfano mzuri nchi za Europe zinataka Marekani ashirikiane nao kuhusu NATO kumdhibiti Russia, Yeye USA wa sasa anaona Russia ni rafiki yake hivyo haoni kama ni tatizo lake.Ushindi pekee wa MAGA ni ikiwa Trump angerudisha Marekani manufacturing
Hapa Marekani ilipofikia imeonyesha weaknesses katika pande 2
Kuendelea kutegemea kuimport bidhaa kutoka mataifa mengine ni wazi kuwa plan ya MAGA ya bring back manufacturing imefeli mazima
Kuona Marekani inataka ushirikiano na mataifa mengine dhidi ya China ina maana Marekani kusimama yenyewe katika trade war dhidi ya China imeshindwa
Nazishangaa nchi zinazojikombakomba kwa Trump. Wangeamuacha waone kama nchi yake inajitosheleza kwa kila kitu. Marekani inazalisha sehemu ndogo sana ya consumer goods wanazotumia Wamarekani. Akiachwa hawezi kumaliza hata nusu mwaka kabla hajachemsha na kuondoa huo ujinga wake!It tells the world how vulnerable is the US nations security control of the southern states thinking.
People learn how not to be exposed in the future and living their fate to US, FIAT currency.
Donald Trump Kawala somo Europeans not a trusted allie,
Trump amesumbua uchumi wao, it was a suprise to them. They won’t allow that to happen in the future.
It’s the beggning of the end on US influence in Europe, these people learn from their mistakes,
Wasalimie hapo marekaniNazishangaa nchi zinazojikombakomba kwa Trump. Wangeamuacha waone kama nchi yake inajitosheleza kwa kila kitu. Marekani inazalisha sehemu ndogo sana ya consumer goods wanazotumia Wamarekani. Akiachwa hawezi kumaliza hata nusu mwaka kabla hajachemsha na kuondoa huo ujinga wake!
Maneno yako ni 💯Mchina alisema hatapandisha tena hizo tarrifs maana hizo namba kwa sasa hazina maana ....kikubwa yeye anachojua kwa sasa hamna biashara baina yao......hizo tarrifs ni lugha tu kwamba kwa sasa hutakiwi kuleta vitu vyako huku baas maana hata na yeye akisema ampige marekani tarrifs tuseme 500% maana itabaki ni ile ile,,,,mchina kaona upuuzi kucheza huu mchezo wa namba,,,,ila Marekani amejifunza safari hii kaweka tariffs ila baadhi ya vitu kaweka exemptions,,maana alikua anajipiga pin mwenyewe ,kuna vitu bila mchina watu watamwambia bwana Trump asubuhi tu atoke ikulu
Ukijadili nini kitabadilika chini ya utawala wa CCM ?Hivi mbona sioni mkijadili hali ya kiuchumi ya hii inchi.