kama wewe ulikiuwa ni mpenzi wa 24 hrs na kama ulimis basi jiandae kuanza kuiona tena kuanzia mwezi may mwakani,na iataonyeshwa na channeli ya fox,itaonyeshwa vile vile kwa masaa ya kweli na katika mfuatano ila kuna baadhi ya masaa yatakuwa skipped,itaonyeshwa kawa wiki 12,
source:http://eztv.it/tvnews/6001/24-to-return-in-spring-2014/View attachment 24.bmp