2025: Ujumbe kwa Chama Cha Mapinduzi

Kwani hii nchi ni ya CCM pekeyao?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Jamani ya kesho ni ya Mungu. Kuna mzee mmoja alikuwa akisema ataongeza mshahara watumishi wake ifikapo mwaka wa mwisho wa kutawala kwake, ila hakumaliza huo mwaka, wakazika wakasahau. Hakujua kuwa mwaka wa mwisho ndio huo huo aliokuwa akisema.



Jesus is Lord
 
Mwinyi ameonyesha uwezo mkubwa sana

Samia ameichangamsha nchi.
Mwinyi anauwezo wa kushughulikia Wezi.

Dr. WILBROD SLAA atakua ni mbadala Wa JPM kiuzalendo japo SLAA Ana busara nyingi na umri kidogo umesogea lakini anafaa.
Kasim Majaliwa Kasim anaweza.

Lukuvi Yuko vizuri.

Job Ndugai atatuvusha akipewa mpini.

Nape Moses Nnauye anaweza .

Lazaro Nyarandu.,
Benard Membe
RC. Anton Mtaka.
Freeman Aikael Mbowe Pekee Kwa wapinzani.

Lisu Bado hajakomaa kisiasa. Anazeeka na umachachari wake.

Zito ni Mdini na mkabila Kwa wazi hatakaa afae Kuwa hata Waziri Wa wanyama pori.[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…