kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 682
- 1,293
Mwamposa si akupake mafuta? Km uliomba uvuke na chako na haikuwa basi hata ulichodhani kilikua chako hakikuwa chako...including mke/mchumba uliyenaye.Kabla ya kuingia 2025 ilibidi nihudhurie mkesha wa Vuka na Chako kwa mtume Mwamposa
Na nilitamka kwa sauti kubwa sana nikiamini huu mwaka navuka na changu.
Asee meza imepinduka ndugu yenu nimepigwa katafunua nilitegemea nitavuka n mpenzi wangu asee sijavuka nae kavuka na chinga wa dunia.
Nina upweke na ukata wa hapa na pale, yale madeni ya 2024 nimevuka nayo na wadeni wananidai vibaya mno natamani kukimbilia Malawi ila sina nauli
Kile kibarua nilichokuwa nacho 2024 sijavuka nacho asee boss kanuna biashara ngumu kafunga ofisi naendelea na harakati za kiugonga ulimbo.
kiufupi geto langu naliogopa maana lina maji ya kunywa tu na kiroba cha unga hela ya gesi tu inanipiga chenga waweza hisi ni masikhara ila sio masikhara.
Sifikirii kujinyonga ila nahisi akili haipo sawa nahitaji mwanasaikolojia jahazi kabla halijazama
Asante sana ndugu yangu,Amina naamini hivo🙏Pole sana ndugu yangu be strong.
Nyakati ngumu hazidumu ila watu wagumu hudumu.
Ok ndugu asanteMwamposa si akupake mafuta? Km uliomba uvuke na chako na haikuwa basi hata ulichodhani kilikua chako hakikuwa chako...including mke/mchumba uliyenaye.
Daah sawa kaka😄😂Mcheki Elon musk kwa email
But please...kwa Mungu linawezekana lisilowezekana ka wanadamu...wewe unaweza kuona this is end kumbe kwa Mungu its just a bend...Ok ndugu asante
Kabla ya kuingia 2025 ilibidi nihudhurie mkesha wa Vuka na Chako kwa mtume Mwamposa
Na nilitamka kwa sauti kubwa sana nikiamini huu mwaka navuka na changu.
Asee meza imepinduka ndugu yenu nimepigwa katafunua nilitegemea nitavuka n mpenzi wangu asee sijavuka nae kavuka na chinga wa dunia.
Nina upweke na ukata wa hapa na pale, yale madeni ya 2024 nimevuka nayo na wadeni wananidai vibaya mno natamani kukimbilia Malawi ila sina nauli
Kile kibarua nilichokuwa nacho 2024 sijavuka nacho asee boss kanuna biashara ngumu kafunga ofisi naendelea na harakati za kiugonga ulimbo.
kiufupi geto langu naliogopa maana lina maji ya kunywa tu na kiroba cha unga hela ya gesi tu inanipiga chenga waweza hisi ni masikhara ila sio masikhara.
Sifikirii kujinyonga ila nahisi akili haipo sawa nahitaji mwanasaikolojia jahazi kabla halijazama
Amina nimekuelewaUliomba Mungu uvuke na chako sasa unaumia nini?
Inawezekana huyo mpenzi hakuwa wako, ulikua unaiba.... na inawezekana hiyo kazi sio yako!
Kuna wakati changamoto zikishatokea inabidi uachane na lawama ili uweze iujitafuta katika lililo bora zaidi
Amina nimekuelewa
Kila kitu kitakua sawa mkuu usijione mkosaKabla ya kuingia 2025 ilibidi nihudhurie mkesha wa Vuka na Chako kwa mtume Mwamposa
Na nilitamka kwa sauti kubwa sana nikiamini huu mwaka navuka na changu.
Asee meza imepinduka ndugu yenu nimepigwa katafunua nilitegemea nitavuka n mpenzi wangu asee sijavuka nae kavuka na chinga wa dunia.
Nina upweke na ukata wa hapa na pale, yale madeni ya 2024 nimevuka nayo na wadeni wananidai vibaya mno natamani kukimbilia Malawi ila sina nauli
Kile kibarua nilichokuwa nacho 2024 sijavuka nacho asee boss kanuna biashara ngumu kafunga ofisi naendelea na harakati za kiugonga ulimbo.
kiufupi geto langu naliogopa maana lina maji ya kunywa tu na kiroba cha unga hela ya gesi tu inanipiga chenga waweza hisi ni masikhara ila sio masikhara.
Sifikirii kujinyonga ila nahisi akili haipo sawa nahitaji mwanasaikolojia jahazi kabla halijazama
Kabla ya kuingia 2025 ilibidi nihudhurie mkesha wa Vuka na Chako kwa mtume Mwamposa
Na nilitamka kwa sauti kubwa sana nikiamini huu mwaka navuka na changu.
Asee meza imepinduka ndugu yenu nimepigwa katafunua nilitegemea nitavuka n mpenzi wangu asee sijavuka nae kavuka na chinga wa dunia.
Nina upweke na ukata wa hapa na pale, yale madeni ya 2024 nimevuka nayo na wadeni wananidai vibaya mno natamani kukimbilia Malawi ila sina nauli
Kile kibarua nilichokuwa nacho 2024 sijavuka nacho asee boss kanuna biashara ngumu kafunga ofisi naendelea na harakati za kiugonga ulimbo.
kiufupi geto langu naliogopa maana lina maji ya kunywa tu na kiroba cha unga hela ya gesi tu inanipiga chenga waweza hisi ni masikhara ila sio masikhara.
Sifikirii kujinyonga ila nahisi akili haipo sawa nahitaji mwanasaikolojia jahazi kabla halijaz
Omba Mungu Roho Mtakatifu akufingulie zaidi akili kuhusu manabii wa uongoKabla ya kuingia 2025 ilibidi nihudhurie mkesha wa Vuka na Chako kwa mtume Mwamposa