silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,540
- 2,239
Gari zote ziko Zanzibar. Bei ni 60,000 USD
roho inatamani, mfuko ziro. napita, zaidi ya 130M TShs....
Gari zote ziko Zanzibar. Bei ni 60,000 USD
Gari gani labda mkuumimi nataka gari ila isizidi 10M. kama yapo niambie
Mkuu umetumia uhuru wako wa kikatiba kutoa maoni. Shukran.Izo gari ni 2014 na 2015 amna ya mwaka uu apo
Mkuu Ni kweli. ZOTE NI ZA MWAKA 2013 . Naomba MOD WAREKEBISHEIzo gari ni 2014 na 2015 amna ya mwaka uu apo
Ok Ahsante sana kwa kutumia uhuru wako wa kikatiba kutoa maoni.Mkuu pia hembu weka Bei in Tsh,maana kama hiyo number G,black nikwamba imeishatumika hapa Zanzibar.
Angalau ungesema in USD hiyo white,licha ya kwamba na yenyewe inaweza kuwa tu imetolewa number.
Na ili upate wateja,jaribu kuweka na everage ya gharama mpaka kufikisha Dar,maana hapo ndio kimbembe,sijui kama sio 40m pamoja na Kodi zote