Hatupaswi kujivunia Ibaka tunapaswa kujivunia huyo wetu lakini bahati mbaya anatuangusha na yeye wala hajali hilo
Mazee Serge yupo level ingine kabisa. Si umeona mwenyewe umuhimu wake kwenye timu?
Natamani sana angecheza zile mechi mbili za mwanzo. Huenda series ingekuwa tied sasa hivi.
Ila OKC wana bahati mbaya sana. Mwaka jana wakamkosa Westbrook na mwaka huu tena Serge ndo hivyo.
Sijui extent ya injury yake ikoje lakini sidhani kama yupo 100%.
Ni kama analazimisha tu kwa vile Western conference finals. La sivyo nadhani angekaa benchi ili apone vizuri.
The thing is, the guy is not a baller. Amepewa mda wa kutosha sana NBA, lakini ameshindwa kubadilisha mchezo wake!.Tatizo la Thabit ni kuwa hajitumi.......dakika tatu alizopewa kucheza ile juzi.....inadhihirisha hilo....na akaishia kuchezea watu vibaya na kuwa penalised......
inaonekana timu chemistry imekufa sababu ni Paul George na mapenzi bwana inaonyesha ukiwaacha Hibbert kuumia Kama ni kweli na Paul George atakuwa anajisikia guilt alichotenda na wenzake watakuwa wamemtenga kiaina vijana bwana hao ndomana hata. Lebron walimbebea mama yake team mate vijana, Spurs huoni huo utumbo Coach players wote wapo na heshima zao wanatizamana kwa Love ya heshima sio uchu haya ndio yaliharibu Lakers baada jamaa kumbebea Paul Gasol demu wake ndomana Kobe bryant Hana urafiki na vijana kwa nyumbani anamalizana nao staples arena Kobe bryant ndomana anachukiwa ukiona Hood Celebrity inamchukia mtu Kama Kobe Bryant ujue sababu wanamuona Coconut ila hawaelewi malezi ya Kobe Bryant ni tofauti jamaa European......halafu umeona interview ya Paul......alivyompiga dongo Lance!....."sometimes you got to watch what you saying".....maneno yake yamem-backfire.....duuh
mkuu umesema kitu ambacho kila siku nakiona KD ni mtu anayependwa Hana image ya kuchukiwa Lebron anakila kitu ila Ana image ya kupendwa na kuchukiwa sasa Westbrook Ana image ya kuchukiwa ila yeye ndio anaibeba OKC Turudi kwa KD jamaa ni Pure 3pointer na umbo la urefu linamsaidia mengine ila haijafikia wengi Pasi hakuna kitu Westbrook au Ibaka hayupo KD anaanguka MVP sababu ya score tu ni good kwa 3point na ni goodplayer anachofanya KD hata Kevin Love hufanya KD kapewa MVP kwa sababu anapendwa na Lebron amebeba sana na tumpe KD Mie naona Tony Parker ndio anahaki.hapa ndio utajua kuwa hii ni team game hamna cha mvp wala nini....akikosekana westbrook issue,ibaka issue inanikumbusha miami walivyommiss bosh timu ika-struggle sana hadi aliporudi.
Watanzania wengi wamejaribu mara nyingi kumshauri aweke juhudi katika kuinua kiwango cha uchezaji wake kwa kuwaajiri hata kwa mwezi au miezi miwili akina Mutombo/Olajuwon (mmoja wao wakati wa offseason ili ajifunze toka kwa hawa wakongwe) lakini wapi!!!! Waswahili hawakukosea waliposema "kwenye miti hakuna wajenzi"
Khaaaaa, kumbe ushauri nasaa anapata? basi bwana huyu dogo kwishney....yaani yeye anaona fahari kuja huku Bongo kuuza sura badala ya kujitahidi ili apate mkataba mzuri yeye anaridhika na afadhali?
Juzi nilitembelea Bahamas.....nilipofika nikaambiwa kwamba kuna IAAF World relays....nikauliza kama kuna nchi kutoka Afrika ikiwemo nchi yangu....nikaambiwa Tanzania haina wawakilishi isipokuwa wapo Kenyans, Ugandans and Ethiopians.....nikaenda kushuhudia....kwa kweli nilifurahi sana kuona Wa-Kenya wakivunja rekodi mbili za dunia......nikashangilia sana....kwa hiyo nilifanya makosa!......can you imagine Wa-Kenya (wadada) waliwazunguka wenzao na kuvunja rekodi..... Ab-Titchaz ulipata nafasi ya kuona zile rekodi?.....hebu tuwekee mapicha please!
Ibaka ni muafrika...tena jirani yetu......ni furaha kumuona anavyojituma na kutuwakilisha waafrika vilivyo Mkuu....
Sasa naamini wasemayo watu kuwa hasheem ni useless na hafai kuwa ambassador wetu katika mpira wa kikapu. Yaani mechi ya jana na ukali wote ule bishololo hakucheza wakati huku mitaani watu walipiga kelele kuwa atachezeshwa. This guys is simply pathetic. Hivi hana washauri?
Yaani gemu lilikuwa safi sana....kama kawaida Ibaka kafanya kazi inayotakiwa.....na Russell kaua!....series iko draw..2-2!
Your words too bitter and personal, you sound a looser!
...labda atazinduka kwenye usingizi wake before it's too late.
Hivi jina la huyu Mtanzania mwenzetu.....linaandikwaje?.......Hasheem/Hashim Thabeet/Thabit......hivi bongo tuna hii kitu "Hasheem" au "Thabeet".....au?
waengereza wanasema Rodney Wabrazil wanasema Rodinho Watanzania wanasema Rodini so sishangai Kama Cheti cha kuzaliwa hakisemi Hashimu Thabiti ila yeye ndio anajuwa tumuacheni dogo ajikamue tu akipata nafasi Yule Adam wa OKC jamaa last born kwenye watoto 12 kutoka Europe anajikamuwa toka aipate nafasi na ilikuwa nafasi ya Hasheem Thabeet tunamuombea bado mafanikio hatumkandamizi ila tunampenda kijana kumuona anatoka angalau na Block 2 na Point 6-8.Hashimu Thabiti