Pale stendi ya kisutu zaman unakunja ile njia kama unaenda shef pride mtaa ule mbele kuna duka la Mwarabu mmoja anaitwa Nathoo huyu anakila kipuri unachohitaji cha VW, Peugeot, BMW, Audi & other european cars. Ana maduka pia mombasa so kama spair zimeisha anakuagizia. Mi nlikuwaga na pudjoo 206 ndo alikua mkombozi wangu huyu jamaa. Try him!