2007 Toyota Rav4

Status
Not open for further replies.
Daaaah hivi haya magari yenu sisi wafanyakazi wa serikalini tutayaweza kweli? Ngoja tutafute mianya ya ufisadi tu manina?

Viwanja Ghali, magari ndio usiseme aaaaaaaaargh! na mbona nammba za magari zinapepepa namna hii? naskia sasa hivi kuna CZP.. mwezi kesho tutakua tunaongelea DAA!! Khaaaaa watu hela wanapata wapi? ni mishahara hii hii au ni deals na biashara zisizolipiwa kodi?

Manina zangu kichwa kinauma sasa? Kwa mahesabu ya haraka haraka asha ngedere anataka kumake faida ya 10m ndani ya mwezi... GUd business mkuu sisi wengine huku hata mishahara ya mwaka mzima hiyo 10m haifiki:angry:

Najaga lolo..
 
Last edited by a moderator:
Mbona hueleweki mara unatuma link ya $11000 then unatuma licha ya $8000.

Naomba link ya Rav4 yenye specification za gari yangu pls. Usisahau rangi Black

Befoward: Toyota RAV4-2007; Mileage 54924km, black colour, FOB-$10238,CIF to Dar Port-$11,741! Ref no:BF-283035, Model code-DBA-ACA36W, Location Kyushu Japan! Kwa convertion ya $1=Tsh1700, then hadi linafika Dar ni Tsh 19,959,700/-
 

Mkuranga kuna mashamba wanauza hekari mpaka laki2. Jenga kibanda cha udongo cha laki 3 mweke mtu akulimie hekari moja tu ya matikiti. Utakucost around laki6 then in three months you have clean 4m minimum.
 
Last edited by a moderator:
Sasa, kama kodi ni 12-13m, jumlisha na hiyo 19.96m/- say 20m/- basi gharama ya gari hilo ni 33m/- tu! Sasa 45m/- ni parefu kidogo yaani tofauti ya 12m/-!
 
Gari alilopigia Brakelyn ofcourse ndilo nililoliangalia mimi pia! Kiukweli Asha Ngedele ulivyosema fanya utafiti, nami nikaona nijionee mwenyewe mtandaoni! Kiukweli gharama yake ni 33m/- ! Sasa ukisema faida ni Million 7 tayari ni million karibia 41!(40m/-) Asha Ngedele yuko sahihi, maana ile ni price ya mwanzo sana!
 

Hii ni biashara alafu sio kila mtu ananunua gari beforward tumeitumia tu kama reference coz wao wanauza gari bei rahisi. Gari aina hii hii beforward wanauza mpaka $13000 inategemea gari na gari.

Alafu kingine, lets say napata hio faida ya 12m wewe hupendi au? Unataka niuze unga?

Wewe unaweza invest 33m yako kwa faida ya 2m?
 
Ambacho nadhani ni cha muhimu ninkwamba biashara yeyotr mtu anaweka faida kubea ili mkishuka kila mmoja awe kwen win win situation....hizo vanguard bei yake ndo kama ivo kuna jamaa yangu kainunua kwa 32 M kuagiza mwenyewe, ila tujue kuivest hela hizo kisha faida iwe 1million bora angeweka kwen fixed account...na anaeza kukaa nayo hata miezi mitatu ujue....la msingi hapa ni negotiations wanasema usiogopr ukubwa wa samaki uliza bei
 
Mkuranga kuna mashamba wanauza hekari mpaka laki2. Jenga kibanda cha udongo cha laki 3 mweke mtu akulimie hekari moja tu ya matikiti. Utakucost around laki6 then in three months you have clean 4m minimum.

Daaaah... Just like that? haya bana ngoja nitajaribu huenda nami ntaweza kumudu hayo magari yenu ila nahisi nina safari ndefu sana manina zangu manake mgari wa mamilioni yote hayo si lazima niwe na nyumba tena yenye parking na ulinzi wa kutosha??? khaaaaaaa kichwa kinauma tena:angry: Ngoja niulizie kilimo cha tikiti kwanza..
 

Nashukuru kwa kutoa ufafanuzi. Unajua mtu anavosema unapata faida 10m hajui hapo kati kuna negotiations, unaweza lipa dalali na pia hio pesa yenyewe ulio-invest hujaiokota shimoni, kuna suala la Cost of fund hapo.

Ni sawa sawa na wanaosema nyumba na nssf ni bei rahisi alafu mtu anachukua mkopo wa nyumba wa 60m then mkopo ukiisha anarudishia bank 150m bila yeye kujua.
 
link nlikosea thats why ikabidi ntume screenshot after realising that.ngoja nkutumie hyo ya black

Ndugu umepotea nangojea bado hio link wanayouza black low mileage 2007 Toyota Rav4 kwa $9000. Ziko web nyingi sio Beforward tu, nenda trade car view, sbt, picknbuy na zinginezo
 
Ndugu umepotea nangojea bado hio link wanayouza black low mileage 2007 Toyota Rav4 kwa $9000. Ziko web nyingi sio Beforward tu, nenda trade car view, sbt, picknbuy na zinginezo

its hard to make someone understand while he/she doesn't want to understand. Kama unaamini bei uliyonunua hyo rav4 mpaka uiuze mil 45 hujaliwa na hakuna za bei pungufu than that then be it,don't keep bringing up a topic while it's through muda mrefu
 
its hard to make someone understand while he/she doesn't want to understand. Kama unaamini bei uliyonunua hyo rav4 mpaka uiuze mil 45 hujaliwa na hakuna za bei pungufu than that then be it,don't keep bringing up a topic while it's through muda mrefu

Ulisema unakuja na link mbona umebadilika tena? Wacha kuleta arguments ambazo unashindwa kuzi defend ndugu. Achangalia wenzio walivoandika hapo juu.
 
mtu analeta gari ambayo wengine wamekubali gharama zake ni 33m sasa akiuza m45 sioni ajabu....hata mimi ningeweka 33m ningetegemea kuuza 40m+...vinginevyo ningeleta gx110 nipate faida ya 1/2/3m.

Watanzania tumejaa Roho ya kwanini, mtu anaona hatari wengine kupata badala ya kuchukulia maendeleo ya mwenzio kama fursa kwako pia. Nimesema maongezi yapo lakini mtu analalamika as if kaibiwa sijui. Toka lini mtanzania ukamuuzia kitu na kuanza bei ile ile ya kuuza, lazima uweke room for negotiations. Wewe ndio umeongea kibiashara sasa lakini wengine wemeongea kishabiki tu
 
Ulisema unakuja na link mbona umebadilika tena? Wacha kuleta arguments ambazo unashindwa kuzi defend ndugu. Achangalia wenzio walivoandika hapo juu.
naomba msaada;kodi ni tshs ngapi kwa gar hii wandugu??????????
[TABLE="width: 1012"]
[TR]
[TD="align: left"]Vehicle Information : Ref.A7300
[TABLE="width: 677"]
[TR="bgcolor: #F5F5F5"]
[TH]Chassis:[/TH]
[TD="align: left"]FB50AB-56****[/TD]
[TH]Trans:[/TH]
[TD="align: left"]MT[/TD]
[TH]Mileage:[/TH]
[TD="align: left"]195,730km[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Reg. Year:[/TH]
[TD="align: left"]2001[/TD]
[TH]Doors[/TH]
[TD="align: left"]2[/TD]
[TH]Fuel:[/TH]
[TD="align: left"]Diesel[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #F5F5F5"]
[TH]Seat:[/TH]
[TD="align: left"]3[/TD]
[TH]Steering[/TH]
[TD="align: left"]RHD[/TD]
[TH]Engine size:[/TH]
[TD="align: left"]2,800cc[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Colour:[/TH]
[TD="align: left"]BLUE[/TD]
[TH]Engine Type:[/TH]
[TD="align: left"]-[/TD]
[TH]Model Type:[/TH]
[TD="align: left"][h=3]KG-FB50AB[/h][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 698"]
[TR]
[TD="colspan: 4, align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]Option
[TABLE="width: 202"]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]Air Conditioning[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]Power Steering[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]Power Windows[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]Antilock Braking System[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]Air Bag[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]Power Mirrors[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]Central Locking[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]Keyless Entry[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]Alloy Wheels[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]Sun Roof[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]Leather Seat[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]HID Xenon Light[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]CD Player[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]CD Changer[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]Spare Key[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]DVD Player[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]HDD Palyer[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"]Cassette Stereo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Inspector's Note
GOOD STANDARD CONDITION !
Cubic meter : 16 m3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4, align: left"]Click photo to enlarge
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"] [/TD]
[TD="align: left"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 4"]Any Questions? Send an inquiry
[/TH]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD="align: left"]
 

Hapana, kuna watu walisema unaweza kupata kwa 22m/-, ukawachalange wafanye research, mimi nikaangalia CIF nikaona ni 20m/-, ushuru nikachukua kama wadau walivyochangia! Nikakubaliana nawe kuwa kwa 33m/- bado ni ndefu, so ukiweka na faida na ukizingatia kuna kauvumilivu ni halali kwa bei ya kuanzia lakini bargain ipo! Labda hukunielewa Asha Ngedele!
 
Yeah nimekusoma ndugu, nlisoma earlier post yako nkaijibu. Asante ndugu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…