ya 2005 kwa 22m unapata hw cmes imepanda mpk 45m kwa miaka miwili tu?au ina wings?
and price ni ngapi?
watu bado wanafikiri gari ni kitu adimu wakati karne hii gari second hand ni cheap zaidi ya sana,
ila Rav 4 ya 2007 sio bei rahisi sana kama mnavyofkiria. Kwa mfano hii ya beforward ya CIF Dar $11741 ambayo ~ 20,000,000/= Tsh (pamoja na hela ya kutuma TT)..Ushuru ~ Tsh 11,900,000/= ..Kwahiyo Cost + Duty = Tsh 31,900,000/=, Bado Port Charges, Shipping Line, Agent fee, Fire, Insurance....!! Tuseme ukishalipa cost zote muhimu jumla itakucost around 33 Million..Kwahiyo hizi Rav 4 si mchezo..ya 2005 kwa 22m unapata hw cmes imepanda mpk 45m kwa miaka miwili tu?au ina wings?
Jamani acheni ujuaji mfanye research. Wenzenu wanaacha magari bandarin kila siku yanapigwa minada sababu ya ujuaji. Rav4 ya 2012 kodi peke yake ni 24.5m.
ila Rav 4 ya 2007 sio bei rahisi sana kama mnavyofkiria. Kwa mfano hii ya beforward ya CIF Dar $11741 ambayo ~ 20,000,000/= Tsh (pamoja na hela ya kutuma TT)..Ushuru ~ Tsh 11,900,000/= ..Kwahiyo Cost + Duty = Tsh 31,900,000/=, Bado Port Charges, Shipping Line, Agent fee, Fire, Insurance....!! Tuseme ukishalipa cost zote muhimu jumla itakucost around 33 Million..Kwahiyo hizi Rav 4 si mchezo..
2008 toyota rav4
2008 toyota rav4
itafika 33 Million ukiagiza kutoka Japan,,je,inafika 45MILLION?
Mbona hueleweki mara unatuma link ya $11000 then unatuma licha ya $8000.
Naomba link ya Rav4 yenye specification za gari yangu pls. Usisahau rangi Black
je,inafika 45MILLION?
ila Rav 4 ya 2007 sio bei rahisi sana kama mnavyofkiria. Kwa mfano hii ya beforward ya CIF Dar $11741 ambayo ~ 20,000,000/= Tsh (pamoja na hela ya kutuma TT)..Ushuru ~ Tsh 11,900,000/= ..Kwahiyo Cost + Duty = Tsh 31,900,000/=, Bado Port Charges, Shipping Line, Agent fee, Fire, Insurance....!! Tuseme ukishalipa cost zote muhimu jumla itakucost around 33 Million..Kwahiyo hizi Rav 4 si mchezo..
Sasa na yeye si anataka faida?
Asante. Ila tu umetumia version 18 ya TRA calculator, ukitumia the latest version (version 19) kodi ni 12.5m
nimetumia version 19, nafkiri tofauti ipo kwenye exchange rate pale nimeweka 1662 labda kama ipo juu zaidi..Asante. Ila tu umetumia version 18 ya TRA calculator, ukitumia the latest version (version 19) kodi ni 12.5m
nimetumia version 19, nafkiri tofauti ipo kwenye exchange rate pale nimeweka 1662 labda kama ipo juu zaidi..
calculator hiyo hapo, weka Exhange Rate upate estimation ya ushuru ya magari unayotaka,,naiparaje hyo tra calculator??