2007 Toyota Rav4

Status
Not open for further replies.

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
Habari,

Tuwasiliane kama ungependa kununua gari hii. Inafika Tanzania ndani ya week tatu kutoka sasa..

Maelezo ya gari yako hapo chini.

YOM: 2007
Mileage: 61,194
Engine size: 2360cc, VVTi
Drive: 4WD
Transmission: Auto
Push To Start

 
Umekosea kuandika hicho kiasi cha pesa au mie ndio sioni vizuri?
 
ya 2005 kwa 22m unapata hw cmes imepanda mpk 45m kwa miaka miwili tu?au ina wings?
 
ya 2005 kwa 22m unapata hw cmes imepanda mpk 45m kwa miaka miwili tu?au ina wings?

Mnanifurahishaga sana humu na message zenu za kejeli lakini mwisho wa siku serious buyers hujaga inbox na gari zinauzika. Kwa taarifa yako hio gari hapo kodi peke yake bila usajiri na charge za bandari ni 12.5m alafu nenda Be-Forward.com: The Leading Be Forward Site on the Net kacheki bei zake alafu tafuta hio 22m ukanunue
 
watu bado wanafikiri gari ni kitu adimu wakati karne hii gari second hand ni cheap zaidi ya sana,

Kwahio unashauri watu wasifanye biashara za magari ama? What is your point?
 
ya 2005 kwa 22m unapata hw cmes imepanda mpk 45m kwa miaka miwili tu?au ina wings?

Mkuu soma vizuri, ya 2005 inawezaje kuwa sawa na ya 2007? Sio Kili time hio. Ungeakua wewe ungeuzaje embu nishauri
 
heheeee ni katika kujadili tu mkuu wala mi sina ugomvi nawewe,sasa hyo range ya 23m imetokea wapi?ATLEAST It cud ve been 30 sawa em angalia bei ya rav 4 ya 1999 na ya 2005 ,sidhani kama zimeachana kwa zaidi ya 15m-18m, sasa kitu cha miaka miwili kirange for more thn 20m?sjui lakn mkuu mi najrb kucompare tu kwa hichi kiakili finyu nilichojaliwa na Sir God naona naguna tu anyway uswaze brah gari itauzika in shaa Allah ukishusha bei pia watannua tu hhehehehhe dizain umepanic Blaza!!!!!!!!!Mujhe maaf kardo
 
Hahahaha Mil45 Rav4 hii wakati ukiagiza Be Forward unapata kwa $9000? That's too much ndg
 
Hahahaha Mil45 Rav4 hii wakati ukiagiza Be Forward unapata kwa $9000? That's too much ndg
Anafikiri bado Tanzania ya 1991. Mwache atapiga nalo picha likifika.
 
Hahahaha Mil45 Rav4 hii wakati ukiagiza Be Forward unapata kwa $9000? That's too much ndg

Naomba niwekee hapa link ambayo unaweza pata LOW MILEAGE 2007 Rav4 ambayo ni BLACK kwa $9000 please. Nitafurahi sana ukifanya hivo. Ok lets assume umepata hio (which im sure u wont) jumlisha na kodi yake ambayo ni 12.5m (u can confirm na calculator ya TRA version 19) alafu niambie kama jumla inakuja 22m kama huyo mwenzio anavosema.

Acheni ushamba waacheni watu wafanye biashara. Huna nia ya kununua gari then why should you leave a comment?? Hata kama nimeweka margin ya 200% , its my money I have invested hujui nimeipataje na kwa cost gani hio pesa.

Hii ni biashara tunaongea tukishindwana basi naongea na mteja mwingine.
 

Samahani lakini nathubutu kusema wewe hujui magari. Gari hazitofautishwi kwa range ya miaka bali model ndio zina utofauti. Unajua kama Rav4 ya 1999 na 2000 ni two different models na zina bei tofauti? Au Harrier ya 2002 na 2003?
 
rav4 za 2012-current ndiyo 45 million,hyo unayouza its worth a little less than that.or maybe the lesser mileage increases value to that amount??
 
Hahahaha Mil45 Rav4 hii wakati ukiagiza Be Forward unapata kwa $9000? That's too much ndg

Mkuu nangojea hio link ya beforward wanayouza Rav4 kama hii nayouza $9000. Pia naomba unikosoe kwamba kodi yake sio 12.5m
 
Hahaaaa...namasteee, TIIKE.
 
rav4 za 2012-current ndiyo 45 million,hyo unayouza its worth a little less than that.or maybe the lesser mileage increases value to that amount??

Jamani acheni ujuaji mfanye research. Wenzenu wanaacha magari bandarin kila siku yanapigwa minada sababu ya ujuaji. Rav4 ya 2012 kodi peke yake ni 24.5m.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…