ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
dah hiyo rangi
Mbaya au nzuri?
Hiyo Gari kimeo kwa wanaokaa mabondeni kama mimi, zaidi ni kuwa taa zake zikishapigwa na jua na maji ya mvua kidogo tu zinapauka balaa yaani ni tabu. Halafu ukiinunua hii hata ukitaka kuja kuiuza hupati wateja. USHAURI ukitaka kununua gari tafuta SALOON CAR TOYOTA BRAND (COROLLA, CARINA) engine isizidi 1500cc ndo utaenjoy

Ni Kweli,Kuna Wanaume wengine wana Wivu wa Kike.
Niambie gari gani haipo comfortable? Eti space ndani, kwani unanunua gari kwa ajili ya kucheza mpira? Acheni hizo hii gari kwa Barabara za Tanzania haifai unless unataka kuwa unashinda gereji kila wiki
Kagari mbona kanonu mnakasema vbaya
Niambie gari gani
haipo comfortable? Eti space ndani, kwani unanunua gari kwa ajili ya
kucheza mpira? Acheni hizo hii gari kwa Barabara za Tanzania haifai
unless unataka kuwa unashinda gereji kila wiki