2005 Toyota Passo going for cheap price

2005 Toyota Passo going for cheap price

Nyaubwii

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
229
Reaction score
55
2005 Toyota Passo
98,000 km
Champagne color
Automatic Transmission
990 cc
5 Seats
All Duties Paid + Registration & Insurance
PRICE: 6.9 M



CONTACTS:
0689132520 call or text that number.




 

Attachments

  • 20140514-0002.jpg
    20140514-0002.jpg
    420.3 KB · Views: 480
  • 20140514-0001.jpg
    20140514-0001.jpg
    411 KB · Views: 440
  • 20140514-0004.jpg
    20140514-0004.jpg
    498.1 KB · Views: 422
  • 20140516-0005.jpg
    20140516-0005.jpg
    300.1 KB · Views: 410
  • 20140514-0005.jpg
    20140514-0005.jpg
    268.3 KB · Views: 392
kwa nini unaiuza!chukua 4 na mm nimiliki gari!
Zamaulid we kiboko. hii bei yako labda gari ingekua haijalipiwa ushuru. yaani ndio angepata hata kahela kidogo kausumbufu.

lakini kama gari imelipiwa ushuru kwahiyo bei labda Bajaji haki ya Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Zamaulid we kiboko. hii bei yako labda gari ingekua haijalipiwa ushuru. yaani ndio angepata hata kahela kidogo kausumbufu.

lakini kama gari imelipiwa ushuru kwahiyo bei labda Bajaji haki ya Mungu.

Mkuu Mlachake huyu jamaa Zamaulid ni kiboko kwakweli. Yani gari imelipiwa ushuru anataka atoe 4. Duh kweli JF kiboko.
 
Last edited by a moderator:
Pretty 6.85 final price

nimeagiza kama hicho juzi tu be foward. ungetangaza wiki.iliyopita ningenunua kwako nahisi.

show room za bongo ni kuanzia m 8 ndio maana nikaamua.kuagiza.

nakuombea upate mteja haraka. but kwa nini unaiuza kaka gari nzuri hiyo?

na vile vile kodi ulilipia bei gani. nami nijiandae as soon gari yangu inakuja. ni passo 2005 cc900 pia kama yako.
 
Last edited by a moderator:
Da,jamaa unauza gari bei poa sana sio siri. May be mambo mengine yaibuke maana hii dunia siri nyingi sana.
 
Gari bado ipo wakuu final price 6.85M.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom