Nimekosea nini ndugu?
Wapendwa ni la mwaka 1996 na limeendeshwa na mwanamke na its negotiable
mkuu kwenye heading yako umesema ni ya 2003 afu ndani ya maelezo unasema ni yaaa 1996 ndo maana unaconfuse watu
Hapo ndo confusion kubwa inapotokea.
Muuzaji nadhani anaweza kuedit subject
Suzuki ya 2003 haina mwonekano huo,hiyo ni model ya 1990-1993.
mkuu kwenye heading yako umesema ni ya 2003 afu ndani ya maelezo unasema ni yaaa 1996 ndo maana unaconfuse watu