2002 toyota spacio new model inauzwa

2002 toyota spacio new model inauzwa

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
216
Make: Toyota Spacio, NZE 1 Version
Stutus: Available
Year: 2002
Millege: 33,750
Engine type: 1NZ - FE ( VVTI )
Transmission: Automatic
Location: kinondoni Dar es salaam
Price: 11,200,000
contact: 0657 145555
Features:
AM/FM radio, Arm rest, Cd player, Front Ac, Front air bags, tape player.
tayari imesajiriwa bado Bima ( insurance ) na kubadili jina kutoka jina langu kwenda kwa jina la mnunuzi . kwa mahitaji ya gari hili na mengine mengi tuwasiliane

images 2.jpg images.jpg images 3.jpg images 4.jpg
 
Uko juu sana yaani gari imeshavuka miaka 10 TRA watanilima
Hiyo ni Bei ya Toyota Noah
nakutakia biashara njema na kwa kukusaidia wapitie nao ZOOM Tanzania usiache kuweka Namba ya Gari yako ni kesho wanaondoka nalo na mnaweza Bargain na mteja
 
mmmhh hio mileage kwa gari ya 2002 ni magumashi....pia bei haviendani!!
 
gari hizi wanazipenda sana wanawake kuendea kitchen party
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom