ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 155
- 184
Kumbe hizi stori za freemason bado zipo kwenye akili za watu?Freemason walishanifuata mara tatu wakitaka nijiunge na chama chao nifanikiwe haraka, lakini nilikataa kufanikiwa kwa kutumia njia hizo
Kwanini mkuu. Mbona natumia hiyo kitu since then na Familia ipo kamili Gado.Naitumia sana nikiwa nafanya Meditation/Tahajudi na ni Tiba nzuri sana. Sigara na Pombe nimewaachia nyie Mfe Taratibukeshafeli kusema mambo ya freemason huyo alifatwa na matapeli tu!,hawa watu wanaotumia mjani wakuangalia sana hawa..π
Tangulia kituoni!Kwanini mkuu. Mbona natumia hiyo kitu since then na Familia ipo kamili Gado.Naitumia sana nikiwa nafanya Meditation/Tahajudi na ni Tiba nzuri sana. Sigara na Pombe nimewaachia nyie Mfe Taratibu
Hahahaha Waziiiii AfandeeeTangulia kituoni!
Hasa jani lenyewe ukienda kulipuliza chooni.keshafeli kusema mambo ya freemason huyo alifatwa na matapeli tu!,hawa watu wanaotumia mjani wakuangalia sana hawa..π