2 Yrs CCM Makatibu Wakuu 3, CHADEMA safu ileile

Sio katibu makatibu wakuu tuu bali hata baraza la mawaziri na mpaka 2015 lazima avunje tena!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Katibu mkuu bora kwa kuvunja ndoa za watu,kutelekeza familia na kumiliki viwanda vya kutengeneza uongo.

kama ni kashifa, viongozi wa CCM wanachukua no 1, makamba= mwanafunzi kum........ Kinana Meli ya silaha na EPA Mukama ..na DAWAsCo hapo wapi wa kupona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…