HUYU JAMAA USIMCHAFUE KABISA... MIMI NILIWAHI KUFANYA KAZI KWAKE.Hamna kitu hapo, mtachoshwa tu Bila malipo yoyote huyo bwana ni janjajanja nyingi. Mtaikumbuka hii komenti
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa huyu ni janjajanja nyingi hamna kituHamna kitu hapo, mtachoshwa tu Bila malipo yoyote huyo bwana ni janjajanja nyingi. Mtaikumbuka hii komenti
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa halipi mishaharaThibitisha ndugu .
Uwaponye vijana maana hawasikii mpaka yawakute.
Noted.Huyu jamaa halipi mishahara
una IDs ngapi ?HUYU JAMAA USIMCHAFUE KABISA... MIMI NILIWAHI KUFANYA KAZI KWAKE.
KATIKA MASUALA YA KAZI NI MTU SAFI SANA... HANA UMWINYI WALA UKIRITIMBA HATA KAMA YEYE NI BOSS... NI MTU WA KAZI NA MALENGO... USIPOKUWA MCHAPAKAZI, MKWELI, MWAMINIFU NA KUFIKIA MALENGO HUWEZI KUENDELEA NAE.
NA KWENYE MALIPO HANA LONGOLONGO...na ANALIPA VIZURI SANA... HUU NDIO UKWELI.
NILISHAWAHI KUFANYA KAZI SEHEMU MBALIMBALI... ILA SIJAWAHI KUENJOY KUFANYA KAZI CHINI YA BOSS KAMA HUYU JAMAA NA OFISI YAKE.
KILICHOSABABISHA NIACHE KAZI/NIACHISHWE KAZI;
1. Mimi ni mtu wa dini wa sana, wakati nafanya kazi ile nikawa nafanya utafiti wa kidini kuhusu uhalali wa kazi ile kidini(kwa upande wa dini yangu).(KAZI KATIKA TAASISI ZA FEDHA ZINAZOHUSU RIBA KAMA MABENK NA MAKAMPUNI YA MIKOPO KATIKA UISLAAM HAIFAI HATA KAMA WEWE HULI HIYO RIBA)
2. Kwahiyo baada ya kubainikiwa kidini kazi Ile kisheria ya dini yangu ningekuwa nafanya dhambi... Nikapoteza PASSION NA KUJITUMA KWENYE KAZI ILE... Ikapelekea kushindwa kufikia malengo... Na BOSS MWENYEWE ALILIONA HILO AKAONA HUYU HANIFAI(Alikuwa sahihi) AKAAMUA ASIONGEZE MKATABA NA MIMI.
Lakini vinginevyo... NINGEENDELEA KUFANYA KAZI KWAKE MPAKA AAMUE KUFUNGA OFISI.
HII NI HAQQ... WALA SIJIPENDEKEZI ANIPE KAZI TENA(kwa sababu sasa hivi nipo busy na masuala ya kufundisha dini na ulinganizi).
Kila mtu haqq yake asidhulumiwe.
Sio kwanama ninae mfahamu Mimi acha huyu ni mwenye post still kabadili Id vijana ombeni Kisha mtaleta mrejeshoHUYU JAMAA USIMCHAFUE KABISA... MIMI NILIWAHI KUFANYA KAZI KWAKE.
KATIKA MASUALA YA KAZI NI MTU SAFI SANA... HANA UMWINYI WALA UKIRITIMBA HATA KAMA YEYE NI BOSS... NI MTU WA KAZI NA MALENGO... USIPOKUWA MCHAPAKAZI, MKWELI, MWAMINIFU NA KUFIKIA MALENGO HUWEZI KUENDELEA NAE.
NA KWENYE MALIPO HANA LONGOLONGO...na ANALIPA VIZURI SANA... HUU NDIO UKWELI.
NILISHAWAHI KUFANYA KAZI SEHEMU MBALIMBALI... ILA SIJAWAHI KUENJOY KUFANYA KAZI CHINI YA BOSS KAMA HUYU JAMAA NA OFISI YAKE.
KILICHOSABABISHA NIACHE KAZI/NIACHISHWE KAZI;
1. Mimi ni mtu wa dini wa sana, wakati nafanya kazi ile nikawa nafanya utafiti wa kidini kuhusu uhalali wa kazi ile kidini(kwa upande wa dini yangu).(KAZI KATIKA TAASISI ZA FEDHA ZINAZOHUSU RIBA KAMA MABENK NA MAKAMPUNI YA MIKOPO KATIKA UISLAAM HAIFAI HATA KAMA WEWE HULI HIYO RIBA)
2. Kwahiyo baada ya kubainikiwa kidini kazi Ile kisheria ya dini yangu ningekuwa nafanya dhambi... Nikapoteza PASSION NA KUJITUMA KWENYE KAZI ILE... Ikapelekea kushindwa kufikia malengo... Na BOSS MWENYEWE ALILIONA HILO AKAONA HUYU HANIFAI(Alikuwa sahihi) AKAAMUA ASIONGEZE MKATABA NA MIMI.
Lakini vinginevyo... NINGEENDELEA KUFANYA KAZI KWAKE MPAKA AAMUE KUFUNGA OFISI.
HII NI HAQQ... WALA SIJIPENDEKEZI ANIPE KAZI TENA(kwa sababu sasa hivi nipo busy na masuala ya kufundisha dini na ulinganizi).
Kila mtu haqq yake asidhulumiwe.
matapeli hawaVipi vijana wasiopo Dar ? Kwanini msipokee maombi ki mtandao
chuki yako usiwaambukize Moderator wetu, kufa nayo......!!Moderators hii ID ina malalamiko mengi sana ukipitia nyuzi zake..why hamumpigi Ban watu watazidi kutapeliwa