Kama ulivyosoma hapo juu nauza min laptop aina ya acer.
Sifa zake RAM 2GB
HDD 250GB
PROCESSOR 1.66Ghz
Webcam
Karibuni wakuu ila mnisamehe simu yangu inasumbua ku appload picha.
Niko DSM
Mkuu mimi nimeweka namba hapo kama kweli unahitaji hiyo laptop ungenipigia sasa kama mteja ataweka namba apigiwe je mimi nitapigia watu wangapi? Maana mimi ni mmoja na wateja ni wengi siwezi kukupigia mkuu.
Kama unahitaji nipigie tufanye biashara