omega_

Member
Joined
Dec 3, 2018
Posts
29
Reaction score
9
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nina malengo ya kusomea ACCOUNTANCY ila nimebaki njia panda kwa kutokuelewa wapi niende either chuo au advance maana nasikia advance mambo ni mengi muda ni mchache na kila siku vitu ni vipya na ni vigumu. Je ni wapi pata nitengenezea mazingira mazuri kutokana na ninachotaka kusomea? Na kwanini? Kwa mlio pitia huko na mnaelewa kulivyo naomben msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…