Ushimen JF-Expert Member Oct 24, 2012 37,217 85,356 Jun 5, 2021 #1 JOB VACANCIES Click below to download PDF FILE: Attachments AJIRAMPYA360.COM_TANGAZO LA AJIRA - MUDA MFUPI copy-converted.pdf 132.3 KB · Views: 35
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Aug 8, 2015 21,257 34,205 Jun 5, 2021 #2 Kwanini hawatoi ajira kamili?
_ID JF-Expert Member Aug 15, 2019 5,409 7,406 Jun 5, 2021 #3 Upepo wa Pesa said: Kwanini hawatoi ajira kamili? Click to expand... Hawataki uwadai stahiki zako
Twyn JF-Expert Member Dec 19, 2020 998 545 Jun 5, 2021 #6 Hivi mbona hio pdf haufunguki kwangu why..?
Hajto JF-Expert Member Sep 30, 2013 5,595 5,487 Jun 5, 2021 #7 Peterkk said: Mishahara io kwa dar c njaa tu Click to expand... Sasa unataka wakae nyumbani wale ugali wa bure
Peterkk said: Mishahara io kwa dar c njaa tu Click to expand... Sasa unataka wakae nyumbani wale ugali wa bure
coolboyjden JF-Expert Member Apr 10, 2021 286 393 Jun 5, 2021 #8 Peterkk said: Mishahara io kwa dar c njaa tu Click to expand... kubwa sn kuna watu wanahali tete sn mjini wanagombania laki na nusu siri za watu tu.
Peterkk said: Mishahara io kwa dar c njaa tu Click to expand... kubwa sn kuna watu wanahali tete sn mjini wanagombania laki na nusu siri za watu tu.
coolboyjden JF-Expert Member Apr 10, 2021 286 393 Jun 5, 2021 #9 wanataka ngazi ya cheti wakati kuna high population ya degree holder zisio na kazi mjini.
F Fundi_Mjasiriamali JF-Expert Member Aug 13, 2018 748 1,329 Jun 5, 2021 #10 usishangae watu elfu kumi kwenye usahili
Jonatus JF-Expert Member Dec 16, 2013 1,403 374 Jun 5, 2021 #11 coolboyjsen said: kubwa sn kuna watu wanahali tete sn mjini wanagombania laki na nusu siri za watu tu. Click to expand... Mambo ya TAESA haya. Acha tu
coolboyjsen said: kubwa sn kuna watu wanahali tete sn mjini wanagombania laki na nusu siri za watu tu. Click to expand... Mambo ya TAESA haya. Acha tu
coolboyjden JF-Expert Member Apr 10, 2021 286 393 Jun 5, 2021 #12 Jonatus said: Mambo ya TAESA haya. Acha tu Click to expand... nikushukur na unacho kipata tu kwakweli hamna namna.
Jonatus said: Mambo ya TAESA haya. Acha tu Click to expand... nikushukur na unacho kipata tu kwakweli hamna namna.
Jonatus JF-Expert Member Dec 16, 2013 1,403 374 Jun 5, 2021 #13 coolboyjsen said: nikushukur na unacho kipata tu kwakweli hamna namna. Click to expand... Hio 310000 nzuri kabisa kuliko kutegemea ugali wa shikamoo.
coolboyjsen said: nikushukur na unacho kipata tu kwakweli hamna namna. Click to expand... Hio 310000 nzuri kabisa kuliko kutegemea ugali wa shikamoo.