Kijana wacha kuwadharau wanawake wa kiafrika, umeisha fika Angola wewe?
Hebu nenda ukatembee Luanda kama hukupata kichaa na ukanza kuwaheshimu.
Nilikutana na msichana mmoja pale Belas Shopping Mall, Luanda...Akasema; where are you coming from, nikasema from nowhere, akacheka na huku akisema; I'm a transformer, yani yule msichana ni transformer...Afu akaendelea kusema, I am truly convinced, that the only way to find out what a person is all about, is to communicate with them...So if you want to...Si unajua mimi huwa sizini lakini nilijua pale chupi za Angola lazima zitakuwa so expensive na zinanukia harufu nzuri nzuri :biggrin1: