100 Most Inluential People In The World

Kuna watu watashindwa kujiuliza kwa prophet Muhammad swallahullahu alaih WA wasalam ni namba Moja .na badala yake wataonyesha chuki tu kuwa kuwa ni muislamu

Ila hawataki hoja yeyote Ile .wao chuki ni kipaumbele KULIKO chochote.
Umemaliza kula pilau mkuu
 
Halafu hii list haipo kidini wala nini ila watataka kuigeuza kuwa bandiko la kidini kwa sababu ya chuki tu. Tuishie hapa mkuu
 
Kuna watu watashindwa kujiuliza kwa Nini prophet Muhammad swallahullahu alaih WA wasalam ni namba Moja .na badala yake wataonyesha chuki tu kuwa ni muislamu

Ila hawataki hoja yeyote Ile .wao chuki ni kipaumbele KULIKO chochote.
Halafu hii list haipo kidini wala nini ila watataka kuigeuza kuwa bandiko la kidini kwa sababu ya chuki tu. Tuishie hapa mkuu
 
Plus dr John pombe Joseph Magufuli in Tanzania.
Genetics not Czech Republic but USSR
 
JF Kennedy yupo kwenye list amefanya nini? mi nadhani pale juu ungeweka neno 'In History' yani katika historia hiyo list ipo sawa ila Currently Influential people OBAMA hakosi Kama ngozi nyeusi ya kwanza kutawala taifa kubwa marekani.
Licha ya kuhudumu kwa kipindi kifupi sana JF, kennedy ni rais mwenye umaarufu mkubwa kumliko hata Obama, amehudumu kwa kipindi kifupi ila kwa ufanisi wa hali ya juu kiasi jwamba alikua akipendwa sana na wa us. Obama kinachombeba katika historia ni rais wa kwanza mweusi USA ila hana la zaid alilofanya kuishawishi dunia imkumbuke .
 
Kristo hajawahi tetewa na hatotetewa kamwe..sio incharge mud huyo
Usije kuchanganya madessa mtume muhammad (S.A.w) na Yesu hakuna wakuwatetea wenyewe ni complete package waliyoyafanya katika vipindi vyao vinatosha kuwatetea kabisa, simvunjii heshima yesu hata kidogo maana alikua binadamu mtakatifu sana hata kwa upande wetu tunajua hilo na wewe usimvunjie heshima Mtume Muhammad (S.A.W).
 
(Pbuh)/(s.a.w) amewahi siti yake ya kwanza kabisa 😍
 
Halafu hii list haipo kidini wala nini ila watataka kuigeuza kuwa bandiko la kidini kwa sababu ya chuki tu. Tuishie hapa mkuu
Kosa kubwa sana katika hii list ni kuanza na Muhammad.
Na hivyo ndivyo muktadha wa mada ukafa kabla ya kuanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…