Wewe jamaa jaribu kua unashirikisha na ubongo wako kidogo, kunyaland sio kibera tu kuna slums dwellers, yahani nchi nzima ni full slums, kama watu hamna uhakika tu wa mlo uo utajiri wenu unahanzia wapi?
wadanganye wengine ambao hawaijui kunyaland lakini sio sisi, tunawajua vizuri bila kutembelea mbeleko ya tz kunyaland hamna jipya
Wewe jamaa jaribu kua unashirikisha na ubongo wako kidogo, kunyaland sio kibera tu kuna slums dwellers, yahani nchi nzima ni full slums, kama watu hamna uhakika tu wa mlo uo utajiri wenu unahanzia wapi?
wadanganye wengine ambao hawaijui kunyaland lakini sio sisi, tunawajua vizuri bila kutembelea mbeleko ya tz kunyaland hamna jipya
We beat you though. So nothing you do right now will change that. Geographic advantage and strategically positioned with improved port handling services.
Hahaha we jamaa..umetafuna kangeta nini? Yani kunyaland mmetu-beat kwa geographic advantage na strategic position? How budaa
You are positioned in between poor countries with uwezo mdogo wa import/export., Dar port might be a white elephant if expanded exponentially. Maybe mupanue uchumi wenu nyie wenyewe mu import na ku export kwa wingi., jirani zenyu(clients wa Dar port) bado sana.,
This shit is irrelevant to what we was discusing. Rudi kwenye hoja.
Huo ukubwa wa bandari yenu mnahudumia matajiri gani ambao ndio majirani zenyu?
Now ume create your own sub topic.., bado haukuelewa. Facts remain, Dar port iko below Mombasa port. No debate here.
Mkuu unajua masharti yaliyokuwa yamewekwa kwenye bandari ya Bagamoyo au unaongea tu mzee baba, jua kwanza masharti yaliyokuwa yamewekwa ndo uongee, sisi tunafikiri kabla ya kufanya maamuziBandari kwenu ni ya Dar, hayo mavitu mengine unataja taja humu hayana nafasi. Hiyo Dar ndio huwa mumewekeza nguvu zote na kutegemewa na mataifa tisa na licha ya yote hiyo haioni hata makalio ya Mombasa maana nyie wazembe. Bwagamoyo iliwashinda maana hapo kwa kweli ndio mlikua mpige bao lenyewe lakini desturi yenu ya uzembe bado mpo mpo tu.
hiyo nchi nzima ni slums mpaka nzige wameamua kuhungana kwenda kuishi kenya, yahani nairobi full slums, nakuru full slums, mombasa full, slums , turkana full slums, imagine ndio unakomaa kutuaminisha kenya matajiri, wongopee majua wenzako ambao hawapajui kenya, mnawazuga na gdp fakeNchi nzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unataka kulazimisha Kenya iwe level yenu ya umasikini eti?., wewe umeona nchi nzima ni slums?, wapi ebu nielimishe kidogo nione, weka na facts from all corners., nangoja mimi sio mkenya, sipajui kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23], tafadhali nifunze nijue Kenya.
Wacha kulazimisha fikra za akili yako. Tz ni aibu in EAC na SADC, aibu kwa ajili ya rasilmali mingi na bado mnatajwa kwa umasikini wa kupindukia.
Weka data Kenya nchi nzima full slums, nielimishe tafadhali, nataka kuona fikra zako. Poor mind[emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha ujinga wewe pinga hilo kwa facts zako..,
Katafiti tena, io China Belt & road hub ya East Africa ndio ni Bagamoyo Port ndio maan mchina ameweka mezani USD 10B na usheeHawa Afrika Kusini tutawafukuzia kwenye kila kitu, tunawapumulia shingoni, subirini siku hiki kitu hapa chini kitakapotendeka hakuna atakayetuona Afrika hii ukizingatia pia bandari ya Lamu iko jikoni...
wewe hujui chochote ulitaka tuhuze nchi yetu kwa mchina kama nyinyi mlivyofanya,
Sisi sio watu wakukurupuka, port ya bagamoyo ilikua ni hasara kwa taifa ukizingatia bagamoyo na Dar zipo karibu sana.
Kwa sasa tupo tunapanua port zetu tatu kubwa, port ya mtwara, port ya DSM na port ya tanga, na hii port ya tanga ndio ina kuja kuua kabisa port ya mombasa
Hujawahi niangusha linapokuja suala la takwimu mujarabu.Sababu ya Tanzania kutokuwepo hapo ni kwakuwa tunatumia bandari nne (Zanzibar, Tanga, Dar na Mtwara) hivyo mizigo inagawanywa baina ya hizo bandari nne.
Capacity ya Dar kwa sasa ni 600,000 Teus ila kwa upanuzi unaoendelea sasa, itakuwa na uwezo wa 1.2m Teus. Ukijumlisha mizigo ya kwenye bandari nyingine tatu Tz inaongoza EA kwa capacity.
Katafiti tena, io China Belt & road hub ya East Africa ndio ni Bagamoyo Port ndio maan mchina ameweka mezani USD 10B na ushee
huwa atufanyi mahamuzi ya kijinga nishakwambia, sasa tupo tunachimba bahari kuiongezea kina bandari ya Tanga kwa ajili ya kuanza kupokea meli kubwa za mizigo na huu ndio utakua mwisho wa bandari ya mombasa'tuhuze' ndio nini, hata hivyo kwenye ushindani bandari wala msiongee kitu, baada ya kuangukia pua kwenye mradi wa Bagamoyo mnapaswa mpige kimya wakati wanaume wanaongea.
Mkuu unajua masharti yaliyokuwa yamewekwa kwenye bandari ya Bagamoyo au unaongea tu mzee baba, jua kwanza masharti yaliyokuwa yamewekwa ndo uongee, sisi tunafikiri kabla ya kufanya maamuzi
huwa atufanyi mahamuzi ya kijinga nishakwambia, sasa tupo tunachimba bahari kuiongezea kina bandari ya Tanga kwa ajili ya kuanza kupokea meli kubwa za mizigo na huu ndio utakua mwisho wa bandari ya mombasa