we unazan kila interview mswl n hayohayo?
we umeona kuna maswali hapo?
Kwani wewe huoni kuna maswali numbe moja mpaka namba kumi? au umesoma kwenye shule za kata nini? Hope you are good missing u an mwanafulani lol
Kama ndo hivyo 99% we ndo umesoma shule za kata
Kwani wewe huoni kuna maswali numbe moja mpaka namba kumi? au umesoma kwenye shule za kata nini? Hope you are good missing u an mwanafulani lol
Hujakosea ila nashukuru nimesoma kitu kinaitwa communication skills kwenye shule moja hivi ya kata nimefundishwa na Mama Kaihula sasa hivi ni mbunge wa viti maalum cdm, na kwa mara ya pili nimesoma somo hilo kwa mzee mmoja anaitwa Mabula Kishepo. Shule za kata zina raha yake mkuu.