Black Jesus
JF-Expert Member
- Mar 7, 2008
- 256
- 10
Watu wenye bunduki wamwaga risasi msikitini na kuua watu 24 Nigeria
Takriban watu 50 wenye bunduki wamevamia msikiti na kuwamwagia risasi waumini waliokua ndani na nje ya msikiti huo, na kuua watu 24. Tukio hilo limetokea alfajiri katika eneo la Dogon Dawa, jimbo la Kaduna, Nigeria. "Bado hatujajua ni nani wamehusika na mashambulizi haya" Kamanda wa Polisi, Olufemi Adenaike alisema.
"Dhumuni la shambulio hili linaonekana kuwa ni uporaji" Luteni Kanali Sani Usman alisema. Hata hivyo kiongozi wa asasi ya haki za binaadamu, Civil Rights Congress, Shehu Sani amesema inaonekana mashambulizi hayo yalikua kati ya wafugaji wa Kiislam na wakulima wa Kiislam. Kumekua na uhasama na mashambuliano kati ya makundi hayo mawili kuhusu haki za ardhi, ingawa mashambulizi hayo huwa si makubwa kufikia kiwango hiki.
Jimbo la Kaduna, ambalo lina uhasama wa kidini, limekumbwa na wimbi la mashambulizi ya kidini katika miezi ya hivi karibuni.
Mabomu ya kujitoa mhanga (suicide bombing) katika makanisa matatu mwezi juni yaliyofanywa na Boko Haram yalisababisha mashambulizi ya kulipa kisasi yaliyofanywa na Wakristo ambapo waliuwa dazeni kadhaa za majirani zao wa Kiislam, na kuichoma moto miili yao.
Waislamu nao wakaanzisha makundi yao na kuua Wakristo kadhaa.
Hapo kwenye blue,Dhambi ya ubaguzi imeanza kuwatafuna.Hapa TZ kuna Bakwata type na Ant-bakwata,dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya binadamu! ukianza kula hutaacha kamwe.
Umenishtua sana, hii ilifaa uiweke Jukwaa la kimataifa
Mkuu kuna Statement huyo mpiga picha kasema Karibu watu wengi wa Hiyo Nchi hawajawahi kuona Kitu kiitwacho Diamond... ni Sawa na hapa kwetu tu Gas Dhahabu na Diamond na sasa hiyo Uranium wengi hatutokuja kuzionadah....nina mpango wa kutafuta mguu wa kuku sasa,waislam wanapenda tufike kwenye link hii hapo chini
cry freetown - YouTube
Pole Mkuu si unajua tena ukitaka kuuza Gazeti! Kwetu hili haliwezi Tokea NavyodhaniUmenishtua sana, hii ilifaa uiweke Jukwaa la kimataifa
Jk kaenda kuchukua mshiko wake kwa Sultani au wewe hujui Waarabu wanarejea tena Znz Kutawala...Redio Tanzania nao wameriport jioni hii kuwa kuna kanisa limechomwa moto huko kigoma. Achana na Nigeria, hapa Tz mbegu mnazopanda zinazaa mavuno ya chuki. JK yupo arabuni anachukua maoni ya uanzishwaji wa mahakama ya khadhi. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Waindi wana miungu mingi tu lakini usikii wakiuana,waislam wana madheebu mawili tu,lakini wenyewe kwa wenyewe wanakatana mikono,shongo na sahizi wanauana kwa AK 47. Wakristo wana madheebu yanafika 100+ watu wa Mbeya mpoo? Lakini atujawai ata kutukanana!Enyi Waislam,wapi Ngaliba,Mwaipopo?Ponda? Jifikirieni.Mwenyezi Mungu awasamehee[h=2]Watu wenye bunduki wamwaga risasi msikitini na kuua watu 24 Nigeria[/h]
Takriban watu 50 wenye bunduki wamevamia msikiti na kuwamwagia risasi waumini waliokua ndani na nje ya msikiti huo, na kuua watu 24. Tukio hilo limetokea alfajiri katika eneo la Dogon Dawa, jimbo la Kaduna, Nigeria. Bado hatujajua ni nani wamehusika na mashambulizi haya Kamanda wa Polisi, Olufemi Adenaike alisema.
Dhumuni la shambulio hili linaonekana kuwa ni uporaji Luteni Kanali Sani Usman alisema. Hata hivyo kiongozi wa asasi ya haki za binaadamu, Civil Rights Congress, Shehu Sani amesema inaonekana mashambulizi hayo yalikua kati ya wafugaji wa Kiislam na wakulima wa Kiislam. Kumekua na uhasama na mashambuliano kati ya makundi hayo mawili kuhusu haki za ardhi, ingawa mashambulizi hayo huwa si makubwa kufikia kiwango hiki.
Jimbo la Kaduna, ambalo lina uhasama wa kidini, limekumbwa na wimbi la mashambulizi ya kidini katika miezi ya hivi karibuni.
Mabomu ya kujitoa mhanga (suicide bombing) katika makanisa matatu mwezi juni yaliyofanywa na Boko Haram yalisababisha mashambulizi ya kulipa kisasi yaliyofanywa na Wakristo ambapo waliuwa dazeni kadhaa za majirani zao wa Kiislam, na kuichoma moto miili yao.
Waislamu nao wakaanzisha makundi yao na kuua Wakristo kadhaa.
Next Tanzania Tuendako huko... Asante Jk kwa Kutuonesha Njia
Source