1. No reform no election 2. Octoba tunatiki

Mkoba wa Mama

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2021
Posts
280
Reaction score
173
Usiandike kingeni chochote zaidi ya namba moja au mbili kadri ya mtazamo wako, kama huwezi kuandika namba, basi andika maneno yaliyopo aidha kwenye namba moja au mbili.

Usiandike namba zote kwa wakati moja, chagua namba moja tu.

NB: kama huwezi kufuata utaratibu, pita kama vile hujaona chochote, utakua umetisha sana.
 
Usiyaunganishe maneno matakatifu ya haki na maneno ya wizi na udanganyifu

No reforms no ELECTION ni maneno ya kupigania haki na demokrasia

tunatiki ni maneno ya wizi na kupinga demokrasia ni ya shetani.
 
vimondo visharushwa huko
tukirudi kwenye hoja
1
 
Mungu hafananishwi na shetani, toka hapa!
Mbona hufuati maelekezo, huoni ndio kushindwa kwenyewe huko kwa sababu ya kutokuzingatia maelekezo madogo tu kama hayo.
Wapi Mungu na shetani hapo?
 
Hivi hii mbinu ya Oktoba tunatiki hawakuiona na kuitumia mapema kuliko makesi ya kumuweka mtu ndani hadi uchaguzi upite
 
1
 
Usiyaunganishe maneno matakatifu ya haki na maneno ya wizi na udanganyifu

No reforms no ELECTION ni maneno ya kupigania haki na demokrasia

tunatiki ni maneno ya wizi na kupinga demokrasia ni ya shetani.
Mbona maelezo mengi, umeshindwa nini kufuata tu maelekezo, ndio maana huwa mnafeli.
 
1
 
1
 
Moja .moja .moja .moja

Hakuna mageuzi hakuna ubaguzi.


Mnatutomba Sana kifikra .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…