Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 3,805
- 1,873
Ukifuatitia takwimu za makadirio nilizozifanya za wagombea wa URAIS wiki mbili kabla ya uchaguzi, utagundua kwamba Mh Kikwete nilimpa 62%. Ukizingatia matokeo halisi ya kura yaliyotangazwa leo na NEC, Rais huyo amepata 61.17%. Hii ni tofauti ya 0.83% toka katika kura halisi.
Hata mashirika mnayoyaamini kama CIA, Ujerumani na BBC namba zao zilikuwa mbali sana na zile za kwangu. Hii inamaanisha kwamba Tanzania inafahamika zaidi na watanzania wenyewe kuliko hao watu wa nje ambao ni sauti kubwa na sahihi kwa watanzania wengi hususan wapinzani.
Wakati umefika wa kuamini wataalam wetu wanaoishi nasi kila siku na kuwaelewa watu wa matabaka yote, ridhaa na mapendekezo yao. Ni vipi CIA wanaokuja miezi miwili na hata pengine wiki tatu kabla ya uchaguzi kuwaelewa wapiga kura zaidi ya 8 milioni kwa kipindi kifupi?
Nina hakika kabisa kuwa wanaJF watanipongeza kwa kutoa makadirio sahihi kabisa, kwani kosa la 0.83% linakubalika kabisa. Ni sifa kwa mwana JF kuibuka mshindi wa makadirio au sio.
Mimi naamini katika takwimu, na ninatarajia watanzania wa kizazi kijacho wajifunze kuzungumza kwa tarakimu. Hayo yatakuwa maendeleo makubwa.
N.B. Sijaisikia kauli ya Mh Slaa baada ya kutangazwa matokeo.
Vigezo tulivyotumia (mimi na timu yangu ya wasomi) nilivitaja kwa urefu katika Thread ile. Hata hivyo kwa ufupi tu ni kwamba tulitembelea mikoa 16 na kutoa karatasi za siri (anonymous) AMBAZO WATU WA MATABAKA na umri TOFAUTI, walijaza uchaguzi wao wa rais kama uchaguzi ungekuwa siku ile. Na majumuisho ya kura za mikoa 16 tukapata 62% kwa Kikwete.Kwanza kwa nini unataka kupongezwa kwa error? Unajua 0.83% ni wapiga kura wangapi? Unajua difference ya 0.83% inaweza kumpa au kumyima mtu ubunge.
Pili kwa kuwa unataka pongezi hebu tupe darasa. ulitumia vigezo, input na factors gani za kitwakwimu kupata hiyo 62% ya rais mteule? I mean ulitumia mbinu kama za sheik yahya au kuna mathematical logic ?
QUOTE=Zawadi Ngoda;1229711]
Nina hakika kabisa kuwa wanaJF watanipongeza kwa kutoa makadirio sahihi kabisa, kwani kosa la 0.83% linakubalika kabisa. [/B]Ni sifa kwa mwana JF kuibuka mshindi wa makadirio au sio.
Mimi naamini katika takwimu, na ninatarajia watanzania wa kizazi kijacho wajifunze kuzungumza kwa tarakimu. Hayo yatakuwa maendeleo makubwa.
N.B. Sijaisikia kauli ya Mh Slaa baada ya kutangazwa matokeo.
Vigezo tulivyotumia (mimi na timu yangu ya wasomi) nilivitaja kwa urefu katika Thread ile. Hata hivyo kwa ufupi tu ni kwamba tulitembelea mikoa 16 na kutoa karatasi za siri (anonymous) AMBAZO WATU WA MATABAKA na umri TOFAUTI, walijaza uchaguzi wao wa rais kama uchaguzi ungekuwa siku ile. Na majumuisho ya kura za mikoa 16 tukapata 62% kwa Kikwete.
Na hivyo ndivyo ilivyokuwa. Inawezekana kuwa 0.83% ni kubwa kama usemavyo, lakini nikilinganisha na mashirika mengine bado timu yetu inaibuka kidedea. Au unasemaje?
Ukifuatitia takwimu za makadirio nilizozifanya za wagombea wa URAIS wiki mbili kabla ya uchaguzi, utagundua kwamba Mh Kikwete nilimpa 62%. Ukizingatia matokeo halisi ya kura yaliyotangazwa leo na NEC, Rais huyo amepata 61.17%. Hii ni tofauti ya 0.83% toka katika kura halisi.
Hata mashirika mnayoyaamini kama CIA, Ujerumani na BBC namba zao zilikuwa mbali sana na zile za kwangu. Hii inamaanisha kwamba Tanzania inafahamika zaidi na watanzania wenyewe kuliko hao watu wa nje ambao ni sauti kubwa na sahihi kwa watanzania wengi hususan wapinzani.
Wakati umefika wa kuamini wataalam wetu wanaoishi nasi kila siku na kuwaelewa watu wa matabaka yote, ridhaa na mapendekezo yao. Ni vipi CIA wanaokuja miezi miwili na hata pengine wiki tatu kabla ya uchaguzi kuwaelewa wapiga kura zaidi ya 8 milioni kwa kipindi kifupi?
Nina hakika kabisa kuwa wanaJF watanipongeza kwa kutoa makadirio sahihi kabisa, kwani kosa la 0.83% linakubalika kabisa. Ni sifa kwa mwana JF kuibuka mshindi wa makadirio au sio.
Mimi naamini katika takwimu, na ninatarajia watanzania wa kizazi kijacho wajifunze kuzungumza kwa tarakimu. Hayo yatakuwa maendeleo makubwa.
N.B. Sijaisikia kauli ya Mh Slaa baada ya kutangazwa matokeo.
Nakupongezeni kwa kufanya takwimu zilizokaribiana na ukweli.
Sasa intepratation yenu ya matokeo ya mwaka 2010 tofauti na 2005 specifically kwa kikwete na miaka mingine ya nyuma ni nini.
NB.Nimeona umetaja demokrasia kukua na uhuru wa vyombo vya habari. Please kama wewe ni mwana takwimu uwe honest. Naomba sababu zaidi. from 80% to 62%. kwa nn kukua kwa demokrasia kuendane na CCM kupoteza viti na JK kupungukiwa %ya kura?
Binafsi kwa kutumia sababu zako tafsiri yake ni kuwa.
- vyombo vya habari vimesaidia kuanika underperformance ya JK
- 2005 wananchi walifanya gamble.Wananchi hawakuwa na vigezo vya kumpima JK but 2010 ni matokeo halisi baada ya JK kuongoza nchi before.UFISADI una mchango mkubwa wa kupunguza kura.
Nawasilisha.
Nikiwa HONEST, sitarajii chaguzi zijazo kama kuna mgombea wa urais au ubunge, awe wa CCM au chama Pinzani kuwa anaweza kupata zaidi ya 60%.
Pale ambapo zile zote zilizoitwa SIRI ZA SERIKALI zinaweza kusemwa bayana, na baadhi ya vingungu kuuachia uwaziri mkuu na Benki kuu (japo kuwa hawakufikishwa mahakamani), ni hatua kubwa kwa Tanzania. Kumbuka zama za Nyerere walikuwa wanahamishwa toka wizara moja kwenda nyingine, eti hiyo ndio adhabu ya kuhujumu serikali. Zama za MKAPA ndio hakumsikiliza yeyote yule na ukizisema zile ziitwazo siri za Serikali basi unahatari hata ya usalama wako, nafasi ya kusema ilikuwa haipo.
Sasa tumetoka katika ujima huo, na ndio mwanzo wa safari ya kuelekea katika elimu ya URAIA. Elimu ya Uraia itapatikana sana kupitia Vyombo vya habari.

umesema Vyema Mtazamaji,Kwangu ni kituko cha karne kumpeleka mtu mahakamani alafu kesho unamsimamisha kwenye jukwaa ukimwombea kura?
Wakati umefika wa kuamini wataalam wetu wanaoishi nasi kila siku na kuwaelewa watu wa matabaka yote, ridhaa na mapendekezo yao. Ni vipi CIA wanaokuja miezi miwili na hata pengine wiki tatu kabla ya uchaguzi kuwaelewa wapiga kura zaidi ya 8 milioni kwa kipindi kifupi?
............................
Ukifuatitia takwimu za makadirio nilizozifanya za wagombea wa URAIS wiki mbili kabla ya uchaguzi, utagundua kwamba Mh Kikwete nilimpa 62%. Ukizingatia matokeo halisi ya kura yaliyotangazwa leo na NEC, Rais huyo amepata 61.17%. Hii ni tofauti ya 0.83% toka katika kura halisi.
Hata mashirika mnayoyaamini kama CIA, Ujerumani na BBC namba zao zilikuwa mbali sana na zile za kwangu. Hii inamaanisha kwamba Tanzania inafahamika zaidi na watanzania wenyewe kuliko hao watu wa nje ambao ni sauti kubwa na sahihi kwa watanzania wengi hususan wapinzani.
Wakati umefika wa kuamini wataalam wetu wanaoishi nasi kila siku na kuwaelewa watu wa matabaka yote, ridhaa na mapendekezo yao. Ni vipi CIA wanaokuja miezi miwili na hata pengine wiki tatu kabla ya uchaguzi kuwaelewa wapiga kura zaidi ya 8 milioni kwa kipindi kifupi?
Nina hakika kabisa kuwa wanaJF watanipongeza kwa kutoa makadirio sahihi kabisa, kwani kosa la 0.83% linakubalika kabisa. Ni sifa kwa mwana JF kuibuka mshindi wa makadirio au sio.
Mimi naamini katika takwimu, na ninatarajia watanzania wa kizazi kijacho wajifunze kuzungumza kwa tarakimu. Hayo yatakuwa maendeleo makubwa.
N.B. Sijaisikia kauli ya Mh Slaa baada ya kutangazwa matokeo.
Ukifuatitia takwimu za makadirio nilizozifanya za wagombea wa URAIS wiki mbili kabla ya uchaguzi, utagundua kwamba Mh Kikwete nilimpa 62%
Kumbe una hamu ya kumsikia Dr. Slaa? vuta subra kidogo tu, kesho ataongea na waandishi wa habari kwahiyo ukiweza nenda makaommakuu ya chadema pale kinondoni ili ujipatie kauli yake "live" bila chenga.
Asssumme wewe kama mtu wa karibu na rafiki na JK aambaye hakushirikisha kwenye serikali yake iliyopita. anakuuliza Zawadi kama rafiki yangu ebu nishauri nimabie ukweli kuhusu
- udhaifu wa serikali yangu iliyopita na udhaifu wa utendaji wangu ulikuwa ni upi ili nirekebishe mambo ?
- Anakuuliza ebu nipe tafsiri sahihi ya hizi takwimu ulizokusanya? tena anakusisitizia usimpake mafuta kwa mgongo wa chupa
Je utamjibu nini na kumshauri nini
teh teh teh teh Kwa hiyo ungemshauri aiminye demokrasia ili mambo yawe safi?Maswali yako ni mzuri sana, kwa ufupi yana majibu kama yafuatayo.
1. Udhaifu wa kwanza kabisa wa Kikwete, ni kwamba yeye ni Rais ANAYEAMINI sana katika demokrasia zaidi ya pale ambapo demokrasia ya Afrika ilipo. Kuna watu wengi wana msema Kikwete kwa kuwafumbua watanzania macho, huku wakisema "ukila na kipofu usimguse mkono"
2. Takwimu hizi nimezikusanya toka mikoa 16 ya TZ Bara. Rejea maelezo ya vigezo nilivyotumia ktk hoja yangu hapo awali #5.
Hayo ndio majibu yangu kwa ufupi. Kuna mtoa hoja kamtamka mkapa, tofauti ya hawa viongozi ni kubwa sana. Ktk uchaguzi huu t MKAPA angeondoka (angezika) na WANACHADEMA WASIOPUNGUA 100. Risasi za moto ndio wangetembea nazo askari.
teh teh teh teh Kwa hiyo ungemshauri aiminye demokrasia ili mambo yawe safi?
Kuamini katika demokrasia ni strengths sio weaknes Zawadi .Sishangai na watu waliomzunguka Jk ni kama wewe wenye mawazo kama yako.ndio maana hawamsaidii JK wala Tanzania
Acha ushabiki Jk ni rais sasa lakini anahitaji washauri wenye guts.Hawezi kupata washauri wazuri sababu udhaifu wake mwingine ameendekeza urafiki hata ofisini. hata Udhaifu huu wa kuendekeza urafiki kazini umeshindwa kuuona ?????
Naanza kusita kama kweli wewe ni mwanatakwimu.
Tukirudi nyuma unakumbuka ulivyomsifia JK kwenye hotuba ya kufunga bunge eti hotubaa imejaa takwimu .Kuwa na takwimu ni kitu kimoja na kufanya analysis ta kitu kingine muhimu zaidi.
Mfano ulisifia Kwa Jk kusema bajeti yetu inajitegmea kwa 40%. Wanatakwimu halisi tunajua hiyo ni siasa. Baada ya serikali za norway , etc sweeden kupunguza misaada sababu ya serikali kushindwa kushughulika ufisadi walipunguza misaada ikabidi serikali ikope kugarimia bajeti yake.
Wanatakwimu wanakumbia madeni yote aliyolipa Mkapa ni kama kazi bure sababu JK amekopa kwa kasi ya ajabu.
Ushauri kwako ukiongea takwimu usiwe unaangalia tu figure. Fanya corect unbiased interpratation na analysis ili Takwimu zako ziwe za kisomi. Otherwise andika thread ya kisiasa tu tutakuelewa
Zawadi u dont get my point . Unaweza kuwa stastician mzuri sana theoretically. Lakini ukiikingiza siasa kwenye taaluma nyeti ya stastics ndo nashindwa kukukuelewa wewe ni mwanasiasa-mwanatakwimu au mwanatakwimu mwanasiasa????.............
Kuhusu takwimu nitascan washiriki na NGO yetu ikijumuisha washiriki kumi na elimu zao ili utuamini. Hili sitasema sana kwani nafikiri unataka uthibitisho.