Polisi mkoani Mwanza limemuachia kwa dhamana Diana Bundala maarufu ‘Mfalme Zumaridi’ huku uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili ukiendelea.
Zumaridi, ambaye alikamatwa kwa tuhuma za kugeuza makazi yake kuwa kanisa, kuendesha shughuli za kidini bila usajili, kuhubiri kwa sauti ya juu na...