Abduli Nondo ambaye ni Meneja Kampeni wa Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma mjini, Zitto Kabwe. Amewaomba wananchi kumrejesha bungeni ili akapambane na ufisadi kulingana na historia yake katika kupambana na vitendo hivyo.
Nondo ametoa kauli hiyo wakati akimnadi mgombea huyo katika mkutano wa...