Kama umekuwa ukiangalia mechi za Japan mashindano ya Kimataifa hususan mechi ya kombe la dunia 2026 dhidi ya Uholanzi na kujiuliza ''Hivi huyu kipa mjapan mweusi ni nani?'' basi jua hauko peke yako.
Huyu anaitwa Zion Suzuki, na ni mmoja wa wachezaji wanaovuma sana kwenye kombe la dunia 2026...