Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amewasili salama Salimini kabisa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Beijing Nchini China.
Akiwa huko atashiriki mkutano mzito sana na wenye maslahi mapana kwa Taifa letu.Usikae mbali na...