RAIS SAMIA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA KISERIKALI NCHINI ANGOLA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amehitimisha Ziara yake ya Kiserikali ya siku 3 nchini Angola.
Mapema leo asubuhi, Rais Dkt. Samia alitembelea kiwanda cha kusafisha mafuta cha Luanda Oil...