Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametoa msaada wa vitendea kazi vya michezo kwa wanamichezo wa Jimbo la Buchosa. Hafla hiyo ilifanyika katika kata ya Bupandwa, ambapo Shigongo alikabidhi mipira kwa ajili ya wanamichezo wa kata hiyo.
Shigongo alikuwapo kupitia diwani wa kata ya Bupandwa...