Msanii wa muziki Bongo, Gigy Money amefunguka na kudai kuwa ana mpango wa kuzaa na mtoto wa kwanza wa Zari The Bosslady.
Muimbaji huyo akipiga stori na SnS Tanzania (Simulizi na Sauti) amesema atafanya hivyo ili Zari aweze kumuheshimu kama mkwe wake.
"Sasa Zari, mimi ninachokuaidi kitu kimoja...